Camp Lehigh
JF-Expert Member
- Nov 20, 2018
- 335
- 612
- Thread starter
-
- #21
Kaka I'm Hard person ila kwake nilizidiwa ikabidi nimfanye my everything.Umejifunza nini baada ya kuachwa? hykuona hata dalili za kuachwa? Next time jifunze kusoma alama za nyakati uwe mbele ya matukio, hutaumizwa tena.
Kumbe wa humu mkuu,bac naye anaenjoi sana anaposoma huu uzi
Nampenda kwakua ananipenda sana kanibloku kwakua anadhani sioni thamani ya upendo wake. Ila roho yangu imejaa huba lake yeye tuChagua wanaokuchagua, mwache aende Mkuu, penda unapopendwa, mshukuru Mungu kaondoka SASA hivi maana ungekuja jutia sana
Kaka I'm Hard person ila kwake nilizidiwa ikabidi nimfanye my everything.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe wa humu mkuu,bac naye anaenjoi sana hapo
Tatizo unapenda wasichana wanaoblock block watu hovyo.......penda wanawake waliokomaa na wanaojitambua
I think she have my baby mkuuAcha utoto, mbona wengine tuko single mwaka wa 24 huu. Halafu wewe unalialia.
Kwani ulizaliwa nae,?
Sent using Jamii Forums mobile app
Anaenjoy unavyoumia...si ni member humu.Anaoinjoi vipi wakati siio mtu wa kudanganywa na vitu vidogo, she's smart n well determinant hadanganyiki kwa vitu vidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Anaenjoy unavyoumia...si ni member humu.
Tatizo huyo bado msichana atakusumbua tu...tafuta mwanamke kuanzia 35yrsKaka humjui tu kumbe hajanibloku kafuta kabisa account wasap mara ya mwisho kuwasiliana nae alikua ananiuliza jinsi ya kufuta account jf anataka atoke humu kwa miezi (alishawahi potea miaka 2 humu)
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka nilimpenda toka moyoni nae pia alinipenda Mm sijui nifanyaje
Sent using Jamii Forums mobile app