Wakuu nimeachwa mwenzenu

Umejifunza nini baada ya kuachwa? hykuona hata dalili za kuachwa? Next time jifunze kusoma alama za nyakati uwe mbele ya matukio, hutaumizwa tena.
Ukimpenda mtu hili suala ni ngumu sana

God save us
 
Mkuu usife saa hizi kipindi cha corona vuta vuta kidogo.
Corona ipite ili tuje msibani kwako tule ubwabwa maharage na tupige umbea kidogo.
Msiba wako utapata kiki sana jf.
Vumilia ufe baadae
Wakuu inauma sana mimi maumivu ya Ulcers na moyo yanechanganyika sijui kama nitasavaivu. Maisha hayana maana tena, anajua ninamoyo mwepesi ila ndio ananiua sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo kakupiga tofali[emoji23][emoji23] et kanibloko

Sent using Gun Trigger
 
1.Aliyekuacha yupo humu Jf.
2.Unajua id yake anajua Id yako.
3.Unaanzisha thread ili auone lakini hutaki kumtag.

Pathetic!
 
With women don't think much brother, usije ukafanya kosa la kumng'ang'ania kama kakublock mtafute kwa no nyingne muulize shida asipojibu au akijibu mwambie kwa lolote nisamehe afu na wewe jikaze ukaushe tuliii, usioneshe weakness kwa mwanamke Hapo ndio utajuchimbia kaburi onesha ujasiri, ujasiri wako ndio utakaomrudisha kwene himaya yako...narudia Tena usimbugudh wala kumsumbua atakama unaumua jikaze kama huyo mwanamke alikuwa anaupendo atarudi mwenyewe kwa miguu yake don't stress urself with women kaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah umemshauri vema
 
Usijali mkuu nawa kwa maji tiririka covid 19 imesepa enyewe sasa huu ndo wakati wa mwili wako kuzalisha kinga yake yenyewe pongezi ziende kwa serikali ya awamu ya tano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…