Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Ndio tatizo kwanini umpende mwanamke kupita kiasi.
Kila kitu kina KIASI.
Kila kitu kina KIASI.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukimpenda mtu hili suala ni ngumu sanaUmejifunza nini baada ya kuachwa? hykuona hata dalili za kuachwa? Next time jifunze kusoma alama za nyakati uwe mbele ya matukio, hutaumizwa tena.
Inategemea amemfanyia nini. Kuna wanawake wana roho ya kutu.Kama kweli ana kupenda atakutafuta.
Penzi la kweli halifi.
Wakuu inauma sana mimi maumivu ya Ulcers na moyo yanechanganyika sijui kama nitasavaivu. Maisha hayana maana tena, anajua ninamoyo mwepesi ila ndio ananiua sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
1.Aliyekuacha yupo humu Jf.
2.Unajua id yake anajua Id yako.
3.Unaanzisha thread ili auone lakini hutaki kumtag.
Pathetic!
SwanPatieeee ni kifupi cha pathetic etiee?
With women don't think much brother, usije ukafanya kosa la kumng'ang'ania kama kakublock mtafute kwa no nyingne muulize shida asipojibu au akijibu mwambie kwa lolote nisamehe afu na wewe jikaze ukaushe tuliii, usioneshe weakness kwa mwanamke Hapo ndio utajuchimbia kaburi onesha ujasiri, ujasiri wako ndio utakaomrudisha kwene himaya yako...narudia Tena usimbugudh wala kumsumbua atakama unaumua jikaze kama huyo mwanamke alikuwa anaupendo atarudi mwenyewe kwa miguu yake don't stress urself with women kakaNaandika haya simanzi nzito kichwani na moyoni[emoji22][emoji22]. Nimeachwa na mwanamke nimpendae, sijui nifanye nini. Nina vidonda tumbo vilikua vimetulia muda mrefu vimenijia now kwa mawazo niliyonayo, sijui hata nifanyeje.
Sijui nitakua mgeni wa nani mimi, nahurumia moyo wangu ulizama kwake leo kanibloko kila kona bila sababu ya msingi. Tumeongea leo vizuri tu, ananieleza hana shida nami kanibloko. L nakupenda wewe tu sijawahi fikiria kukucheat nakuapia.
Najua utasoma hapa! Wakuu nimebaki njia panda hata sijielewi, nipeni mbinuuu nimrudishe mpenzi wangu[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
View attachment 1432378
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana, havihusiani.Patieeee ni kifupi cha pathetic etiee?
Ni la kiume?Hapana, havihusiani.
Kwanini unauliza?
Tafuta hela atarudi tu, mapenzi bila hela bro ni kelele tu ndio maana kakupiga chini ghafla.Kaka nilimpenda toka moyoni nae pia alinipenda Mm sijui nifanyaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Inategemea ni kifupi cha jina gani.Ni la kiume?
Anhaa so wewe ni PatriciaInategemea ni kifupi cha jina gani.
Hapana!Anhaa so wewe ni Patricia
Dah umemshauri vemaWith women don't think much brother, usije ukafanya kosa la kumng'ang'ania kama kakublock mtafute kwa no nyingne muulize shida asipojibu au akijibu mwambie kwa lolote nisamehe afu na wewe jikaze ukaushe tuliii, usioneshe weakness kwa mwanamke Hapo ndio utajuchimbia kaburi onesha ujasiri, ujasiri wako ndio utakaomrudisha kwene himaya yako...narudia Tena usimbugudh wala kumsumbua atakama unaumua jikaze kama huyo mwanamke alikuwa anaupendo atarudi mwenyewe kwa miguu yake don't stress urself with women kaka
Sent using Jamii Forums mobile app