Wakuu nimemkumbuka Papii Kocha

Gitaa la kwenye seya halijawahi kuniacha salama...seya alourudia na babake ohhhh where are the good old days....jaman fanta wangu......aghrrrrrrrr..
 
Mkuu hilo songi ni Kali mno ila nalitafuta Sehemu zote ni download silipati ebu mnisaidie waungwana wangu nilipate songi salima
 
!
!
Fanta wangu.... Umeamua. Kuniacha Peke yangu kwa ajili ya Pesa
 
Wabongo tunapenda kuamini theories na kuukataa ukweli. Ushahidi makamani mara tatu, jamaa wameonekana ni Pedos, sasa unataka tuamini story za vijiweni?
Unauhakika mahakama zetu zipo huru? Mbona hakimu alkafunga hadi katoto(Francis Nguza) na mshenga alieleta watoto(mwl)aliachiwa
 
Wabongo tunapenda kuamini theories na kuukataa ukweli. Ushahidi makamani mara tatu, jamaa wameonekana ni Pedos, sasa unataka tuamini story za vijiweni?
Hujanielewa mimi sijapinga ushahidi wa mahakama wala sijaukubali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…