Wakuu nimemkumbuka Papii Kocha

Wakuu nimemkumbuka Papii Kocha

Gitaa la kwenye seya halijawahi kuniacha salama...seya alourudia na babake ohhhh where are the good old days....jaman fanta wangu......aghrrrrrrrr..
 
PAPIIKOCHA.png
 
Mkuu hilo songi ni Kali mno ila nalitafuta Sehemu zote ni download silipati ebu mnisaidie waungwana wangu nilipate songi salima
 
Daaaaahhhhhh! Mtoa post umenitoa machoz na kunikumbusha mbali kidogo.Nakumbuka fiesta ya mwaka jana 2016 Christian Bella ( King of melodies) alipopanda kwenye stage aliimba kidogo wimbo wa Papii Kocha (FANTA),hyo ngoma ni tamu sana ikipigwa live...,kumpoteza Papii Kocha au Nguza Viking ni pengo kubwa sana kwa sanaa ya Bongo


!
!
Fanta wangu.... Umeamua. Kuniacha Peke yangu kwa ajili ya Pesa
 
Wabongo tunapenda kuamini theories na kuukataa ukweli. Ushahidi makamani mara tatu, jamaa wameonekana ni Pedos, sasa unataka tuamini story za vijiweni?
Unauhakika mahakama zetu zipo huru? Mbona hakimu alkafunga hadi katoto(Francis Nguza) na mshenga alieleta watoto(mwl)aliachiwa
 
Wabongo tunapenda kuamini theories na kuukataa ukweli. Ushahidi makamani mara tatu, jamaa wameonekana ni Pedos, sasa unataka tuamini story za vijiweni?
Hujanielewa mimi sijapinga ushahidi wa mahakama wala sijaukubali
 
Back
Top Bottom