C chokodari JF-Expert Member Joined Jun 2, 2015 Posts 1,380 Reaction score 1,191 Dec 15, 2017 #61 kidudukuntu said: Unajisikiaje kusikia wametoka wako huru Click to expand... huyo salma alimpokea kwa shangwe na inasemekana amefurahi huyoo balaa
kidudukuntu said: Unajisikiaje kusikia wametoka wako huru Click to expand... huyo salma alimpokea kwa shangwe na inasemekana amefurahi huyoo balaa
Slim5 JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 28,203 Reaction score 37,906 Dec 15, 2017 #62 kauga JR said: Aaahhhh weka evidence hapa Click to expand... Haweki. Wapo wengi kama huyo!
C Criterion JF-Expert Member Joined Jan 8, 2008 Posts 11,797 Reaction score 11,891 Dec 15, 2017 #63 Mshuza2 said: Wakuu heshima kwenu. Aisee nilikua nasikiliza wimbo wa Papii kocha Salima..nimemkumbuka sana yule bwana..ningekua karibu ningeenda kumtembelea gerezani..dah maisha haya. Click to expand... Huo wimbo na mang'amng'am yake ulimfanya alivyofanyiwa. Unakumbukia ili afanyiwe upya?
Mshuza2 said: Wakuu heshima kwenu. Aisee nilikua nasikiliza wimbo wa Papii kocha Salima..nimemkumbuka sana yule bwana..ningekua karibu ningeenda kumtembelea gerezani..dah maisha haya. Click to expand... Huo wimbo na mang'amng'am yake ulimfanya alivyofanyiwa. Unakumbukia ili afanyiwe upya?