Wakuu nimemkumbuka Papii Kocha

Wakuu nimemkumbuka Papii Kocha

Wakuu heshima kwenu.
Aisee nilikua nasikiliza wimbo wa Papii kocha Salima..nimemkumbuka sana yule bwana..ningekua karibu ningeenda kumtembelea gerezani..dah maisha haya.

Huo wimbo na mang'amng'am yake ulimfanya alivyofanyiwa. Unakumbukia ili afanyiwe upya?
 
Back
Top Bottom