Wakuu nimepata zali na mtoto wa kituruki ameniachia noti mbili za kituruki Worth £5200

Niangalie nini mzee. Unaijua symbol ya Pound (£) na thamani ya pound unaijua.

Mimi nimemjibu kutokana na aliyoandika juu. Baada ya kuweka picha ndio nimemuambia hiyo ni ruble ya Urusi na kwa hizo ruble 5200 hata laki mbili ya kubongo hakunji.
Siyo za kituruki hzo pesa mkuu au nimepigwa
 
We jamaa kichwa ngumu sana asee. Hebu endelea kukomaa basi na ujinga wako. Unaeleweshwa ila umeshupaza shingo na hilo boga hapo juu ya shingo.
Mm nataka kuzjijuwa Ni za kituruki au mrusi wew umesema Ni mrusi mdau mwinginee amesema Ni za kituruki
 

Hiyo hela in total hata Laki mbili haifiki.

Good for you kama utapata duka wanapokea hizo Russian Ruble.
 
Kwa hyo mkuu Ni mturuki huyu ama Ni mrusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…