Wakuu nimepata zali na mtoto wa kituruki ameniachia noti mbili za kituruki Worth £5200

Wakuu nimepata zali na mtoto wa kituruki ameniachia noti mbili za kituruki Worth £5200

Niangalie nini mzee. Unaijua symbol ya Pound (£) na thamani ya pound unaijua.

Mimi nimemjibu kutokana na aliyoandika juu. Baada ya kuweka picha ndio nimemuambia hiyo ni ruble ya Urusi na kwa hizo ruble 5200 hata laki mbili ya kubongo hakunji.
Siyo za kituruki hzo pesa mkuu au nimepigwa
 
We jamaa kichwa ngumu sana asee. Hebu endelea kukomaa basi na ujinga wako. Unaeleweshwa ila umeshupaza shingo na hilo boga hapo juu ya shingo.
Mm nataka kuzjijuwa Ni za kituruki au mrusi wew umesema Ni mrusi mdau mwinginee amesema Ni za kituruki
 
Wakuu nimepata zali na mtot wa kituruki ameniachia noti mbili 5200
Sas natafuta sehemu au bureau ambayo naweza kubadilisha fedha hzo nizipate za kitaanzania

Naombeni msaada Ni bureau ipi Ina trade na pesa za kituruki ili nikachukue kitita changu mnk nimeoan Kama nitapat Kam laki Saba HV za kibongo

Plz assist ASAP
View attachment 2244612View attachment 2244613View attachment 2244614View attachment 2244615

Hiyo hela in total hata Laki mbili haifiki.

Good for you kama utapata duka wanapokea hizo Russian Ruble.
 
Kwa hyo mkuu Ni mturuki huyu ama Ni mrusi
 
Back
Top Bottom