goroko77
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 8,845
- 13,072
- Thread starter
- #21
Siyo za kituruki hzo pesa mkuu au nimepigwaNiangalie nini mzee. Unaijua symbol ya Pound (£) na thamani ya pound unaijua.
Mimi nimemjibu kutokana na aliyoandika juu. Baada ya kuweka picha ndio nimemuambia hiyo ni ruble ya Urusi na kwa hizo ruble 5200 hata laki mbili ya kubongo hakunji.