Wakuu nimepata zali na mtoto wa kituruki ameniachia noti mbili za kituruki Worth £5200

Kwanza hizo note sio Turkish Lira/ tele, na pia hiyo £ ni kitu kingine kabisa na ingekuwa ni hiyo basi tungeita zali kweli. Na pia kama ingekuwa Tele basi kweli ni hiyo laki 7 na upuuzi.
Kwa taarifa tu hizo Ruble ambayo ni kama laki na 80 hivi.
 
Mkuu unawezaje kupokea Pesa zote hizo kwa mtoto, alafu pasipo kumuuliza chochote kuhusu hizo pesa kuwa ni za Uturuki au Urusi mpaka uje utuulize sisi?,🤔
 
Kwahiyo ukipokea hela kwa Mturuki lazima iwe hela ya kwao? Kwani wewe hapo ulipo na hizo Ruble zako ushakuwa Mrusi tayari?
Huyu jamaa limbukeni sana. Kwanza kaomba kueleweshwa anaeleweshwa bado anabisha. Sasa anabisha kitu ambacho hajui?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…