Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Fedha ya Urusi hiyo mkuu, ambayo inathamani ya Tsh. 186,354.99
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tizama vzr babu
Iliandikwa wapi kuwa mtoto wa kituruki wahezi kuwa na hela ya Urusi?Mm hz pesa nimepokea kwa mtot wa kituruki sas Russia ruble imetokea wapi huku
Kwahiyo ukipokea hela kwa Mturuki lazima iwe hela ya kwao? Kwani wewe hapo ulipo na hizo Ruble zako ushakuwa Mrusi tayari?Mm hz pesa nimepokea kwa mtot wa kituruki sas Russia ruble imetokea wapi huku
Wewe ni muongo na una-enjoy watu tu hapa.Angali vzr mkuu
Kwani mbna hi Ni ya mwak 1997Iliandikwa wapi kuwa mtoto wa kituruki wahezi kuwa na hela ya Urusi?
Hii ni Lira 5000 je ndio uliyonayao?
View attachment 2244628
hiyo ni lira TURKISH LIRA ni Tshs 738,180.42Mkuu nimeweka na picha hapo kujuwa Kama Ni ya uturuki ama lah
Mkuu unawezaje kupokea Pesa zote hizo kwa mtoto, alafu pasipo kumuuliza chochote kuhusu hizo pesa kuwa ni za Uturuki au Urusi mpaka uje utuulize sisi?,🤔Wakuu nimepata zali na mtot wa kituruki ameniachia noti mbili 5200
Sas natafuta sehemu au bureau ambayo naweza kubadilisha fedha hzo nizipate za kitaanzania
Naombeni msaada Ni bureau ipi Ina trade na pesa za kituruki ili nikachukue kitita changu mnk nimeoan Kama nitapat Kam laki Saba HV za kibongo
Plz assist ASAP
View attachment 2244612View attachment 2244613View attachment 2244614View attachment 2244615
HII PESA YA PUTIN, UKO WAPI NIKUTAFUTE TUKANYWE MTORI.
Huyu jamaa limbukeni sana. Kwanza kaomba kueleweshwa anaeleweshwa bado anabisha. Sasa anabisha kitu ambacho hajui?Kwahiyo ukipokea hela kwa Mturuki lazima iwe hela ya kwao? Kwani wewe hapo ulipo na hizo Ruble zako ushakuwa Mrusi tayari?