Wakuu nimesota kweli, nataka nianze kuuza miwa ya kukata kwenye vifuko

FatherOfAllSnipers

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2019
Posts
1,692
Reaction score
4,442
Tangu nimalize masomo ya elimu yangu mwaka juzi nimekuwa nyumbani tu bila shughuli yoyote.
Kwenye tembea tembea nimefikiria nianze kuuza ile miwa ya kukata na kuweka kwenye vifuko.
Kuna mtu amewahi kuifanya hapa anipe uzoefu kidogo?
 
Wewe fanya tu cha muhimu biashara hiyo ina hela?
 
Tangu nimalize masomo ya elimu yangu mwaka juzi nimekuwa nyumbani tu bila shughuli yoyote.
Kwenye tembea tembea nimefikiria nianze kuuza ile miwa ya kukata na kuweka kwenye vifuko.
Kuna mtu amewahi kuifanya hapa anipe uzoefu ki

Tangu nimalize masomo ya elimu yangu mwaka juzi nimekuwa nyumbani tu bila shughuli yoyote.
Kwenye tembea tembea nimefikiria nianze kuuza ile miwa ya kukata na kuweka kwenye vifuko.
Kuna mtu amewahi kuifanya hapa anipe uzoefu kidogo?
Skills unazo za kumenya na kukata miwa? Pia jitahidi kutafuta location iliyo na population kubwa ya watu
 
Tangu nimalize masomo ya elimu yangu mwaka juzi nimekuwa nyumbani tu bila shughuli yoyote.
Kwenye tembea tembea nimefikiria nianze kuuza ile miwa ya kukata na kuweka kwenye vifuko.
Kuna mtu amewahi kuifanya hapa anipe uzoefu kidogo?
Toa namba yako nikurushie mtaji wa 2m TZS hope itasaidia. Maisha ni kusaidiana
 
Pambana ndo maisha baada ya chuo. Kikubwa fanya kwa moyo yaani uwe kama huna option nyingine, lakini pia ukumbuke kuwa unasambaza barua kuomba kazi kila uonapo tangazo ama ofisi unazoweza fanya kazi ulosomea.

Mungu akuongozee
 
Kila la kheri mkuu, nimeuza sana matunda Kinondoni studio kabla ya taa ya njano kuwaka sasa hivi nishasahau kabisa.
 
Mkuu kwa nini usiuze maji ya kwenye madumu kuliko muwa?
Kuna eneo kunaitwa Kibamba nimewahi fika kwa ndugu yangu yaani maji ni shida sana.
Nilienda 2014, kama hawajapelekewa maji nenda kasavei uanzishe hiyo biashara.
 
Back
Top Bottom