Wakuu nimesota kweli, nataka nianze kuuza miwa ya kukata kwenye vifuko

Wakuu nimesota kweli, nataka nianze kuuza miwa ya kukata kwenye vifuko

Hii nchi ajira zilikuwepo alieharibu kilakitu ni yule mwanakwenda laanatullah...msomi anauza miwa😓😓....msomi anafanya kazi za ndani...mwenyezi mungu sijui atamuweka wapi yule jamaa...hata moto wa jahannamu haumtoshi..
 
Mkuu kwa nini usiuze maji ya kwenye madumu kuliko muwa ?
Kuna eneo kunaitwa kibamba nimewahi fika kwa ndugu yangu yani maji ni shida sana.
Nilienda 2014, kama hawajapelekewa maji nenda kasavei uanzishe hoo biashara.
2014? Uko wapi wewe, Dar yote maji mpaka chooni, Kibamba umekuwa mji ofisi za wilaya na manispaa ya Ubungo ziko Kibamba
 
Back
Top Bottom