Huo ndio ukweli halafu vijana kuna dipresheni za kujitakia tu kama huyu mleta uzi kama siku 5 zilizopita aliandika uzi wa makasiriko kuhusu members wa JF akakugusia nadharia hewa. Eti humu wanaonekana high profile kumbe Kiuhalisia sio sasa uzi kama ule unamuonesha kabisa ni mtu aliyeshindwa kuhandle dipresheni zake 😂Kabisa kaka naunga mkono hoja 😂 😃
Ile imekaa Sana 😃 😀 zamu yake hii mpya 😃😀Rudisha avatar Yako ya zamaaniii kaka.
Una miaka mingapi ?View attachment 3446942
Na usafi nimepiga wa maana geto🥹
Huu ni ukweli Dokta 😀😀😀Masikitikooo makubwa sana 😧😔😴😴
Unatupa tabuu TULIO kuzoea😊Ile imekaa Sana 😃 😀 zamu yake hii mpya 😃😀
Aiseeee 🤔 😔Huu ni ukweli Dokta 😀😀😀
Dah!😃😀Unatupa tabuu TULIO kuzoea😊
HahaaaaView attachment 3446942
Na usafi nimepiga wa maana geto🥹
Mbembeleze siku akija mle kiboga 🤣View attachment 3446942
Na usafi nimepiga wa maana geto🥹
Mzeya unapenda mayutongView attachment 3446942
Na usafi nimepiga wa maana geto🥹
Unapaswa umshukuru kwa kukufanya uwe active kwa muda.Kwa ufupi amekuchangamsha kispoti!View attachment 3446942
Na usafi nimepiga wa maana geto🥹