Wakuu nimfanyeje huyu kiumbe?

Pole sana ila elewa kwamba Mwanamke havutiwi na muonekano na kujali kwako. Huwa anavutiwa na kile ulicho nacho tafuta hela za kutosha sio elfu tatu ya nauli na Chipsi Kuku na soda utateseka sana
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…