mapema
JF-Expert Member
- Jul 21, 2014
- 992
- 3,146
Kwa heshima na taadhima naomba huu uzi usihamishwe.
Wakuu nataka kujaribu bahati yangu, nina kiasi hiko cha fedha nikigawanye
Nikigawanye mara tatu, nusu fainali kati ya Argentina na England 20,000
Ufaransa na uhispania 20,000
Na finali yenyewe 20,000
Naamini kwenye jukwaa hili wapo wadau mahiri kabisa wa haya mambo , mimi ni mweupe sana .
Naombeni mwongozo wakuu mybe nipate hata mtaji , hali ni ngumu mno.