ilala yetu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 1,451
- 2,348
Kuwa seriousNgoja tumuite rais wa ilala
Cc: Chid Benz
Fungua inbox yako nikutumie tangazo la kaziWakuu mimi ni kijana wa kitanzania na mwenzenu humu kwa miaka mingi kidogo nina bachelor ya mechanichal engineering pia nipo registered na erb natafuta kazi wakuu associated na fani yangu husika,..kama kuna mkuu yeyote yupo sehemu wanauhitaji huu au anaweza nisaidia natanguliza shukrani nyingi kwake..
Shukrani mkuu.naifunguaFungua inbox yako nikutumie tangazo la kazi
AngaliaShukrani mkuu.naifungua
Mechanichal[emoji735]Wakuu mimi ni kijana wa kitanzania na mwenzenu humu kwa miaka mingi kidogo nina bachelor ya mechanichal engineering pia nipo registered na erb natafuta kazi wakuu associated na fani yangu husika,..kama kuna mkuu yeyote yupo sehemu wanauhitaji huu au anaweza nisaidia natanguliza shukrani nyingi kwake..
Shukrani mkuu nimeliona.Angalia
Mkuu kuna makosa umeyaona..Mechanichal[emoji735]
erb[emoji735]
Shukrani kwa ushauri mkuu,,..ila ikipatikana kazi ili nianze kujitafuta kama kijana itakua poa zaidiMkuu andika tu tangazo apo nyumbani kwako kama kuna mazingira rafiki pamoja na online kwa platform mbalimbali
Kuwa
Unatengeneza Majenereta, unarepair fridge. Unafunga na kushusha engine za pikipki na bajaji na kufanya maintainance unadesign na kurepair mechanical Device mbalimbali
Ni ushauri tu japo sio rahisi ila unaweza kujaribu
Kupanga ni kuamua
#Stayhome safe COVID-19 is everywhere
Mkuu andika tu tangazo apo nyumbani kwako kama kuna mazingira rafiki pamoja na online kwa platform mbalimbali
Kuwa
Unatengeneza Majenereta, unarepair fridge. Unafunga na kushusha engine za pikipki na bajaji na kufanya maintainance unadesign na kurepair mechanical Device mbalimbali
Ni ushauri tu japo sio rahisi ila unaweza kujaribu
Kupanga ni kuamua
#Stayhome safe COVID-19 is everywhere
[/QUOTE shukrani kwa ushauri mkuu..ila ikipatkana kazi ili nianze kujitafuta kama kijana itakua poa zaidi.
Mkuu namie naomba nitumie. Natanguliza shukrani.Fungua inbox yako nikutumie tangazo la kazi
Fungua inbox yako nikutumie tangazo la kazi
Unaweza kufanya kazi Garage??Kama kuna mkuu yeyote anaweza saidia nikapata kasehem kakujishkiza kwa fani yangu husika natanguliza shukrani nyingi kwake..
naweza mkuu kikubwa chchte kitu cha kusogeza maisha ya kila siku kipatikane.
Mkuu nitaomba nipate namba yako kama utajali kwa nia njemaWakuu mimi ni kijana wa kitanzania na mwenzenu humu kwa miaka mingi kidogo nina bachelor ya mechanichal engineering pia nipo registered na erb natafuta kazi wakuu associated na fani yangu husika,..kama kuna mkuu yeyote yupo sehemu wanauhitaji huu au anaweza nisaidia natanguliza shukrani nyingi kwake..