Liverpool_Jr
JF-Expert Member
- Sep 7, 2019
- 1,220
- 1,415
Mechanichal = MECHANICALMkuu kuna makosa umeyaona..
#YNWA
Wrote from Anfield..!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mechanichal = MECHANICALMkuu kuna makosa umeyaona..
haina shida mkuu cheki inbox nakutumia.Mkuu nitaomba nipate namba yako kama utajali kwa nia njema
shukrani kwa kunirekebisha mkuu..Mechanichal = MECHANICAL
#YNWA
Wrote from Anfield..!!
mkuu kweli hali sio nzuri sana..ila kuileta hii changamoto yangu humu jamii forum sio ajabu sana humu kuna watu wakila aina ,,huwez jua nan anaweza kuona akanionesha njia yakupita.Dah hadi mechanical wanatafuta ajira humu ...kweli hali ni mbaya
Sent from my iPhone using JamiiForums
Nashkuru kwa ushauri wako mzuri mkuu,..ila kama ikipatikana kazi ya fani yangu husika niweze kujitafuta na kujipanga kama kijana ninaeanza maisha itakua poa zaidi.Tafuta vijana wenzako wawili au watatu waliosoma Mechanical kama wewe tengenezeni kikundi kidogo cha ujasiliamali mkiwa na malengo ya kufungua kampuni hapo baadaye alfu anzeni shughuli ndogo tu ya ujasiriamali kuna fursa nyingi za kutosha zinazoendana na taaluma yako
Hili ni wazo mbadala
Kila la heri
Sent using Jamii Forums mobile app
Hali ni tete, na hii Corona ndo hatari kabisaDah hadi mechanical wanatafuta ajira humu ...kweli hali ni mbaya
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kweli mkuu hali sio nzuri sana.Hali ni tete, na hii Corona ndo hatari kabisa
Wakuu mimi ni kijana wa kitanzania na mwenzenu humu kwa miaka mingi kidogo nina bachelor ya mechanichal engineering pia nipo registered na erb natafuta kazi wakuu associated na fani yangu husika,..kama kuna mkuu yeyote yupo sehemu wanauhitaji huu au anaweza nisaidia natanguliza shukrani nyingi kwake..
Update
Wakuu bado lengo langu kuu la kuja kwenu na uzi huu halijatimia.
Kama kuna mkuu yeyote anaweza nisaidia kupata kazi ya fani yangu husika au kunionesha njia ya kupita kufikia lengo lngu husika natanguluza shukrani nyingi kwake.
Kwa wale wa sociology, hrm,law,accounts, political science, public administration, bba,procurement, marketing, public relation,nk itakuwa mbaya Mara miaDah hadi mechanical wanatafuta ajira humu ...kweli hali ni mbaya
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kama kuna kazi ya garage mimi nipotayali nipo Dsm