Wakuu nina wazo

Cha ajabu mnaolalama ni nyie waoaji, kuliko hata hao waolewaji, kuna shida mahala. Woiiiih
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anae lia mwanzo huwa mwishoni anacheka, nyie sasa hivi mpo kimya sababu mnacheka, ngoja hiyo miili ichakae mfubae muwe na mamichirizi manyama yamelegea,makunyanzi,mvuto 0.9% hapo sasa tutaanza kuwabinya mlie kisawasawa,najua mtalilia kwa Mwamposa ila tunaahidi hatutawaonea huruma katika eneo la kuwasema na kuwananga, tutawasema hadi wajukuu wajue tabia zenu mlizofanya huku ujanani. [emoji19][emoji19][emoji19]
 
Siku hizi mnapata shida sana kuita Kahaba mtu ambaye tayari kashaonyesha 99% ya vigezo vya ukahaba.

Mtu anaishi mwenyewe, wapi mwanamke umeona anaishi mwenyewe awe salama kimahusiano?

Anataka vitu vya gharama bila hata kutazama vyanzo vyake vya mapato.

Ana kazi ila bado anataka kudhurumu mtu asiyemjua vizuri.

Ametolewa out kama sehemu ya kufahamiana yeye akili yake inamwambia hapa umekuja kama fursa ya kupiga hela so go straight to the point.
 
Ni ukichaa tu lakini kukutana na mtu na kuassume anatakiwa kuwa level moja na wewe kifedha ndipo mdate. Kwa kifupi hapo umetazama chanzo cha mapato kama sifa ya mahusiano na sio mtu kama mtu.

Sasa kama ndio hivyo basi jiandae kuliwa na kutemwa kila unapokwenda sababu hata wanaume wenye pesa hawana mazoea na wanawake wanaotumia miili yao kama chanzo cha mapato.
 
kwanini umkomoe? mwite umwambie kistaarabu kuwa huna uwezo wa kumhudumia hivyo muachane kwa amani
 
Basi kila mtu ashinde match zake, subirini huko wakati wenu wa kutamba ufike, haraka ya nn?
 
Ukweli ndio huo japo unauma, huyo mwanamke anajitegemea na huyo mkaka ni lazima aombwe mahitaji. Ndiomana nimemshauri atafute mwanamke anayekaa kwao ili kupunguza kuombwa pesa sababu bado anajitafuta….. kumng’anga’ania huyo mwanamke ni sawa na kujitafutia stress

Halafu unikome mimi siliwi na wanaume wajinga, na sijawahi kwenda gheto kwa mtu.
Kwanza kwa gheto gani la kunipotezea muda nimfate mtu??
 
Mimi siamini kama mwanaume ana mapenzi ya dhati zaidi ya kumfanya mwanaume daraja tuwe tu makini madume wenzangu.Kwa kesi yako jamaa yangu jifanye kama bado una haja nae mkaze kwa mara ya mwisho na piga chini.Ukifanikisha hilo unijulishe nami nimpitie.
 
Huyo dem anafaa kutafuna, kama ulivyosema mashine iko ok we kama vp endelea kumega ila kichwani unajua kabisa hapo hamna mtu. Mahusiano ya siku hizi ni kuviziana we ukimzidi kete unamega halafu unamuachia vumbi hakuna cha iphone wala nini..
Verry sure broπŸ˜€
 
Mzee kwanza pole kama vipi achana nae tuu imagine unalipa hiyo Kodi bado anataka ku top-up hiyo iPhone x we cha kufanya mrubuni tuu.Kula mzigo potea kama yeye alivyokua anakupotezea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…