Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 8,323
- 18,051
Swali la msingi ni why anapanga na ana Mwanaume ambaye ana kwake? [emoji848]Sa unataka nani amlipie Kodi mchumba wako?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swali la msingi ni why anapanga na ana Mwanaume ambaye ana kwake? [emoji848]Sa unataka nani amlipie Kodi mchumba wako?
Anae lia mwanzo huwa mwishoni anacheka, nyie sasa hivi mpo kimya sababu mnacheka, ngoja hiyo miili ichakae mfubae muwe na mamichirizi manyama yamelegea,makunyanzi,mvuto 0.9% hapo sasa tutaanza kuwabinya mlie kisawasawa,najua mtalilia kwa Mwamposa ila tunaahidi hatutawaonea huruma katika eneo la kuwasema na kuwananga, tutawasema hadi wajukuu wajue tabia zenu mlizofanya huku ujanani. [emoji19][emoji19][emoji19]Cha ajabu mnaolalama ni nyie waoaji, kuliko hata hao waolewaji, kuna shida mahala. Woiiiih
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siku hizi mnapata shida sana kuita Kahaba mtu ambaye tayari kashaonyesha 99% ya vigezo vya ukahaba.Hapana Demu sio ni Chuma ulete.
Baadae umri ukishaenda atakuja kulalamika humu eti wamemchezea.
Hapo anataka wa kumlipia kodi, kumnunulia Iphone n.k.
Ameitwa na Mwamba akaonekana yuko bize na simu na kimawazo hayupo kabisa.
Kifupi uyo demu kaona jamaa ana pesa lakini hakuna mapenzi hapo.
Ni ukichaa tu lakini kukutana na mtu na kuassume anatakiwa kuwa level moja na wewe kifedha ndipo mdate. Kwa kifupi hapo umetazama chanzo cha mapato kama sifa ya mahusiano na sio mtu kama mtu.Demu kagundua huyo mwanaume sio class yake kaamua kumtafutia muacho kimtindo, sasa umkute demu anamiliki gheto halafu utegemee kumuhonga pesa mbuzi km mwanafunzi kweli??
Yy atafute demu anayekaa kwao ndio atammudu akimpa laki kwa mwezi atacheka muda wote…!!! Hao wapambanaji sio size yake ss hivi, aendelee kujitafuta.
kwanini umkomoe? mwite umwambie kistaarabu kuwa huna uwezo wa kumhudumia hivyo muachane kwa amaniNipo na mahusiano na binti mmoja mrembo tu. Tukaanza mahusiano tatzo yule binti anaonekana yupo kimaslahi. Pesa za matumizo huwa nina mpa japo ana kiajira chake.
Siku moja tumepanga meeting somewhere in sinza binti akaja but anaonekana ayupo oky halafu yupo bize na simu.
Nikamuuliza vipi mbona kama aupo sawa akasema yupo oky but 4sure hakuwa sawa. Yani tupo wote lakini akili yake ipo kwengine bac akaagiza msosi akala akasema anawahi home nikamwabia sawa. Nikampa pesa kidogo akaondoka baadae akanitumia txt kuwa kuna kitu anataka tuzungumze nikamwambia sawa.
Usiku wake akaniambia kodi imeisha pia simu yake ya iphone x imeishiwa betri na ataki tena simu hiyo lengo lake ni kufanya top up apate simu nyingine nkamwambia sawa bac tutachek.
Ila baada ya hapo huyo demu amekuwa ayuko happy juzi kati tena kanikumbusha nikamwambia saiz bado sipo fresh nina majukumu kidogo yamenibana akaanza kuongea vitu vingi kwamba sijawahi mfanyia chochote kikubwa nikamwambia mbona unaharaka mahusiano yetu mbona bado machanga una haraka gani.
Basi yakaisha ila toka siku hiyo huyo dem kabadilika juzi aliniambia hana nauli ya kwenda job nikamtumia 30k hata ahsante akusema nikishawahi kumgegeda mara moja na kiukweli nilikuwa na mipango ya yeye kumfanya kama mchumba wangu ila kanishinda saiz atuongei na kwa kweli kumuacha hivi siwezi sababu ni gold diger naona nijirudi kwake kwa kumuahidi kodi upya kwake nimgonge mara ya mwisho halafu namdump mazima. Japo sikuwa na lengo hilo ila ngoja nimkomoe.
Hata kama angekuwa anatumia la huyu mwamba, kama kodi mzigo akae na jamaa amwambie wafanyaje kama vipi ahamie kwake waishi pamoja au?Basi kwa sasa baba yake ndiye mwenye jukumu la kumlipia kodi
Nimecheka kama mazuri. AiseeeeeeWazo ulilo nalo ni lipi sasa, au umechanganyikiwa
Basi kila mtu ashinde match zake, subirini huko wakati wenu wa kutamba ufike, haraka ya nn?Anae lia mwanzo huwa mwishoni anacheka, nyie sasa hivi mpo kimya sababu mnacheka, ngoja hiyo miili ichakae mfubae muwe na mamichirizi manyama yamelegea,makunyanzi,mvuto 0.9% hapo sasa tutaanza kuwabinya mlie kisawasawa,najua mtalilia kwa Mwamposa ila tunaahidi hatutawaonea huruma katika eneo la kuwasema na kuwananga, tutawasema hadi wajukuu wajue tabia zenu mlizofanya huku ujanani. [emoji19][emoji19][emoji19]
Ukweli ndio huo japo unauma, huyo mwanamke anajitegemea na huyo mkaka ni lazima aombwe mahitaji. Ndiomana nimemshauri atafute mwanamke anayekaa kwao ili kupunguza kuombwa pesa sababu bado anajitafuta….. kumng’anga’ania huyo mwanamke ni sawa na kujitafutia stressNi ukichaa tu lakini kukutana na mtu na kuassume anatakiwa kuwa level moja na wewe kifedha ndipo mdate. Kwa kifupi hapo umetazama chanzo cha mapato kama sifa ya mahusiano na sio mtu kama mtu.
Sasa kama ndio hivyo basi jiandae kuliwa na kutemwa kila unapokwenda sababu hata wanaume wenye pesa hawana mazoea na wanawake wanaotumia miili yao kama chanzo cha mapato.
😘[emoji23][emoji23][emoji23] yamekua hayo tenaa? Woiiiiih
Verry sure kaka nimekuelewa sana mkuuAchana na hiyo plan yako ila huyo hafai kama unatafuta ke wa kuwa mke huyo ni uongo bado ana uslay queen mwingi.
Nimekubali mkuu kweli ukukosea kuyasema hayoMimi nilisema chumbieni binti anaekaa kwao. Unaona madhara ya kuchumbia hawa wanajiita wapambanaji... Wadangan5in disguise
Verry sure bro😀Huyo dem anafaa kutafuna, kama ulivyosema mashine iko ok we kama vp endelea kumega ila kichwani unajua kabisa hapo hamna mtu. Mahusiano ya siku hizi ni kuviziana we ukimzidi kete unamega halafu unamuachia vumbi hakuna cha iphone wala nini..
Vihela vyenyewe vya ngama 🤣🤣🤣
Daah hawa viumbe hawana akili hata kidogoIla wanawake akili zao wanazijua wenyewe. Yani mtu hela ya kula hana, ila anataka kuwekeza 2m kwenye iphone ili akapige picha chooni aonyeshe macho ma3. Izo ni akili au matope..?