Melancholic
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 3,076
- 5,483
- Thread starter
- #21
AiseeHahahaa......Shtuka dogo unapigwa.....hapa anakufukuza kwa akili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AiseeHahahaa......Shtuka dogo unapigwa.....hapa anakufukuza kwa akili.
Sasa kipimo Cha mwanaume ni kudeal na majukumu,Sasa kama Kodi inakushinda hapo we uage mashindano tu sio ligi yakoKwani mwanzo alikuwa analipiwa na nani wakati ana ajira, wanawake mnafeli sana yani mkipata mwanaume bac ndio unambebesha mizigo yote
Huyo demu ana mtu wake......ila anataka kula kuwili.....mwisho wa siku atakosa kote aanze kulalamika wanaume wabaya.Kausha damu uyo, kimbia🏃🏃
Uzuri mpaka saiz mimi ndio nilikaa kimya anasubili niongee chochote na nikimuita huwa akatai hata nikiliwa but hata 50k najua aitofikaUnamkomoa au unajikomoa?? Unashindana na ulikotoka?? Hapo utaliwa vihela vyako vilivyobaki tyuuuu!!
Na kipimo cha Mwanamke ni nini?Sasa kipimo Cha mwanaume ni kudeal na majukumu,Sasa kama Kodi inakushinda hapo we uage mashindano tu sio ligi yako
Tunasubiri mrejesho akija kulia tena hapa.Unamkomoa au unajikomoa?? Unashindana na ulikotoka?? Hapo utaliwa vihela vyako vilivyobaki tyuuuu!!
Kodi ainishindi ila nilikuwa nampima kama anaweza kuvumilia kama siku uchumi ukiyumbaSasa kipimo Cha mwanaume ni kudeal na majukumu,Sasa kama Kodi inakushinda hapo we uage mashindano tu sio ligi yako
Tatizo sio pesaSema umenogewa na pesa huna [emoji23][emoji23][emoji23]
Kulazimisha penzi Ni sawa na kulazimisha fani😃Huyo demu ana mtu wake......ila anataka kula kuwili.....mwisho wa siku atakosa kote aanze kulalamika wanaume wabaya.
Umetisha mkuuTatizo sio pesa
Kama anauza aseme tu nauza DAU laki 3
Nimlipie KODI me babaake
We sa uuza hiyo KYUMA pesa utakayolipwa baada BIASHARA kukamilika nenda kalipe KODI mwenyewe na ukabadili battery [emoji367] la simu yako
Mwanamke akishakufanya wewe ni ATM hiyo peke yake ni Dharau.Tatizo sio pesa
Kama anauza aseme tu nauza DAU laki 3
Nimlipie KODI me babaake
We sa uuza hiyo KYUMA pesa utakayolipwa baada BIASHARA kukamilika nenda kalipe KODI mwenyewe na ukabadili battery [emoji367] la simu yako
Sasa huoni unaendelea kuliwa pesa zako?? Ww umenasa sema gharama zinakutia mawazo!! Cha kukushauri kaa naye chini myaongeeUzuri mpaka saiz mimi ndio nilikaa kimya anasubili niongee chochote na nikimuita huwa akatai hata nikiliwa but hata 50k najua aitofika
Hilo ni jukumu la baba yake. Usijipe umuhimu kwenye majukumu yasiyokuhusu.Pesa za matumizo huwa nina mpa japo ana kiajira chake
Huyu kapenda ila binti sio class yake anaforce kuimiliki 😂😂😂Tunasubiri mrejesho akija kulia tena hapa.
Hii ni red flag toshaanaonekana ayupo oky halafu yupo bize na simu.
Shangaa nawee hapo, [emoji23][emoji23][emoji23]Sa unataka nani amlipie Kodi mchumba wako?
Sawa mkuuHilo ni jukumu la baba yake. Usijipe umuhimu kwenye majukumu yasiyokuhusu.
Kama sio mkeo usithubutu kutoa hela ya matunzo
Kabla yangu alikuwa analipiwa kodi na nani? Hilo sio jukumu langu kwasababu ajawa mke wanguShangaa nawee hapo, [emoji23][emoji23][emoji23]