Wakuu nina wazo

Wakuu nina wazo

Nipo na mahusiano na binti mmoja mrembo tu. Tukaanza mahusiano tatzo yule binti anaonekana yupo kimaslahi. Pesa za matumizo huwa nina mpa japo ana kiajira chake.

Siku moja tumepanga meeting somewhere in sinza binti akaja but anaonekana ayupo oky halafu yupo bize na simu.

Nikamuuliza vipi mbona kama aupo sawa akasema yupo oky but 4sure hakuwa sawa. Yani tupo wote lakini akili yake ipo kwengine bac akaagiza msosi akala akasema anawahi home nikamwabia sawa. Nikampa pesa kidogo akaondoka baadae akanitumia txt kuwa kuna kitu anataka tuzungumze nikamwambia sawa.

Usiku wake akaniambia kodi imeisha pia simu yake ya iphone x imeishiwa betri na ataki tena simu hiyo lengo lake ni kufanya top up apate simu nyingine nkamwambia sawa bac tutachek.

Ila baada ya hapo huyo demu amekuwa ayuko happy juzi kati tena kanikumbusha nikamwambia saiz bado sipo fresh nina majukumu kidogo yamenibana akaanza kuongea vitu vingi kwamba sijawahi mfanyia chochote kikubwa nikamwambia mbona unaharaka mahusiano yetu mbona bado machanga una haraka gani.

Basi yakaisha ila toka siku hiyo huyo dem kabadilika juzi aliniambia hana nauli ya kwenda job nikamtumia 30k hata ahsante akusema nikishawahi kumgegeda mara moja na kiukweli nilikuwa na mipango ya yeye kumfanya kama mchumba wangu ila kanishinda saiz atuongei na kwa kweli kumuacha hivi siwezi sababu ni gold diger naona nijirudi kwake kwa kumuahidi kodi upya kwake nimgonge mara ya mwisho halafu namdump mazima. Japo sikuwa na lengo hilo ila ngoja nimkomoe.
Asee huo ujasiri wa kuchezea pesa Kwa wanawake mnatoaga Wapi?, Mimi hata niwe na pesa nyingi kama bilgert siwezi kuhonga kirahisi rahisi na ovyo ovyo.

Napohesabu pesa zangu najiskia raha kuliko kusex na kuliko kuwa na Dem

Hivi unaongaje Dem pesa ili umle? Kwanini usiliwe wewe ili hizo pesa uchukue wewe
 
Mkuu,

Nakuelewa sana ila hapo "uliwe wewe" pako vipi hapo?

Unaliwaje mtu mwanamme kwa mfano?
 
Nataka nimdhihirishie ni Kwa jinsi gani mtu mwenye uchungu na pesa zake ilivyo vigum kumhonga mwanamke kama jinsi ilivyo ngumu Kwa ngamia kupenya kwenye tundu la sindano
 
Kwa hiyo wewe ni bora uliwe ili upewe pesa kuliko kumuhonga mwanamke umle?
 
Nyie wanaume muwe mnadate na watu wa class na size yenu, sio kukurupukaa.
Tumeshachoka kusikiliza kero zenu hapa, mxxxiiiieeew
Mwanamke awe wa maisha ya chini kama akutaki anaweza kukuomba umjengee nyumba, na mwanamke mwenye pesa kama akupendi anaweza kukwambia na akakata mawasiliano bila kukufukuza kwa kukuomba vitu vya bei kubwa, kwa hiyo unavyosema atafute mwanamke wa saizi yake sijajua unamaanisha nini, Kuna Mtoto wa Marehemu Rais wa awamu ya pili Mwinyi Binti yake aliolewa na Muuza Michele solo la kusutu, je Je huyo muuza Mchele sokoni na Binti wa Raisi ni saizi yake?
Mwanaume aliyekamili ana mtongoza mwanamke yoyote bila kuangalia huyo mwanake ana maisha ngani yawe mazur au magumu.
 
Hivi mkuu ndio hujawahi ona kabisa makamanda wanapoandika 'KATAA MBUSUSU TUNZA KIBUNDA CHAKO' au ndio unaamua tu kukuza shingo?
 
Nipo na mahusiano na binti mmoja mrembo tu. Tukaanza mahusiano tatzo yule binti anaonekana yupo kimaslahi. Pesa za matumizo huwa nina mpa japo ana kiajira chake.

Siku moja tumepanga meeting somewhere in sinza binti akaja but anaonekana ayupo oky halafu yupo bize na simu.

Nikamuuliza vipi mbona kama aupo sawa akasema yupo oky but 4sure hakuwa sawa. Yani tupo wote lakini akili yake ipo kwengine bac akaagiza msosi akala akasema anawahi home nikamwabia sawa. Nikampa pesa kidogo akaondoka baadae akanitumia txt kuwa kuna kitu anataka tuzungumze nikamwambia sawa.

Usiku wake akaniambia kodi imeisha pia simu yake ya iphone x imeishiwa betri na ataki tena simu hiyo lengo lake ni kufanya top up apate simu nyingine nkamwambia sawa bac tutachek.

Ila baada ya hapo huyo demu amekuwa ayuko happy juzi kati tena kanikumbusha nikamwambia saiz bado sipo fresh nina majukumu kidogo yamenibana akaanza kuongea vitu vingi kwamba sijawahi mfanyia chochote kikubwa nikamwambia mbona unaharaka mahusiano yetu mbona bado machanga una haraka gani.

Basi yakaisha ila toka siku hiyo huyo dem kabadilika juzi aliniambia hana nauli ya kwenda job nikamtumia 30k hata ahsante akusema nikishawahi kumgegeda mara moja na kiukweli nilikuwa na mipango ya yeye kumfanya kama mchumba wangu ila kanishinda saiz atuongei na kwa kweli kumuacha hivi siwezi sababu ni gold diger naona nijirudi kwake kwa kumuahidi kodi upya kwake nimgonge mara ya mwisho halafu namdump mazima. Japo sikuwa na lengo hilo ila ngoja nimkomoe.
Mgonge mara ya mwisho akuachie gono
 
Kwamba ukirudi kumgonga tena ndo utakuwa umemkomoa? Wanaume bana🤔
 
Wanawake wakae na k zao na sisi tukae na vibunda vyetu tuone nani atamfata mwenzie.
 
Back
Top Bottom