Wakuu ninashida na hii Form

Wakuu ninashida na hii Form

DLS

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2015
Posts
246
Reaction score
152
Habari za jioni wakuu, kwa anayejua hii form naweza kupata wapi pia kama kuna uwezekano mtu akajijazia chap kama inavyoonesha hapo nitashukuru service fee ipoo. Natanguliza shukrani.
460cd5cb-0ef9-422c-999a-56b14c2c675b.jpeg
 
Ningekuwa najua kusoma English ningeandika ili nipate hiyo noti si umeandika fee mkuu au
 
Hapo unatafuta kupigwa tu uje kulaumu watu Mkuu

Nilivyoelewa, EU Wana vituko vyao wanavyovitambua Kwa ajili ya kutoa hiyo huduma. Unatakiwa uende kwenye hicho Kituo kilichoidhinishwa wakufanyie usaili na hichi uluchoweka hapa ni report baada ya kuonana nao na kukufanyia tathmini.

Ukipeleka ya magumashi, utakamatwa na kujitafutia matatizo zaidi.
 
Back
Top Bottom