Hapo unatafuta kupigwa tu uje kulaumu watu Mkuu
Nilivyoelewa, EU Wana vituko vyao wanavyovitambua Kwa ajili ya kutoa hiyo huduma. Unatakiwa uende kwenye hicho Kituo kilichoidhinishwa wakufanyie usaili na hichi uluchoweka hapa ni report baada ya kuonana nao na kukufanyia tathmini.
Ukipeleka ya magumashi, utakamatwa na kujitafutia matatizo zaidi.