Wakuu, nini kimemkuta Max Verstappen "Mad Max"?

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
26,961
Reaction score
77,890
Hii kwa wadau wa Formula 1.

Bingwa wa Dunia mara 3, Max Verstappen aka Super Max mbona sahivi anaendesha "chini" ya kiwango?

Nimetoka kuangalia Azerbaijan Grand Prix sahivi jamaa ata Podium hajapanda, kamaliza P5.
Screenshot_20240915-164922.png

Iliopita Italian GP alimaliza P6, Dutch P2, Belgian P4, Hungarian P5, British P2 na kuendelea. Yaani race tano Podium moja???

Tumezoea msimu uliopita P1 ni yake kuanzia Qualifications hadi Race day, ila sahivi dah.

Shida nini, maana kama ni gari Redbull wanasema RB20 ni the best version ya RB19 lililompa ushindi last season, au wapinzani are getting better?

Napenda combo ya McLaren, madereva wake Piastri na Norris hawaachani imanaanisha both cars na drivers wana vipaji vinavyoendana, sio kama Redbull sometimes tunasahau kama Perez anashiriki.

Okay, kila lakheri Max officially naomba nipumzike kukushabia maana stress!
 
Hii kwa wadau wa Formula 1.

Bingwa wa Dunia mara 6, Max Verstappen aka Super Max mbona sahivi anaendesha "chini" ya kiwango?

Nimetoka kuangalia Azerbaijan Grand Prix sahivi jamaa ata Podium hajapanda, kamaliza P5.
View attachment 3096528
Iliopita Italian GP alimaliza P6, Dutch P2, Belgian P4, Hungarian P5, British P2 na kuendelea. Yaani race tano Podium moja???

Tumezoea msimu uliopita P1 ni yake kuanzia Qualifications hadi Race day, ila sahivi dah.

Shida nini, maana kama ni gari Redbull wanasema RB20 ni the best version ya RB19 lililompa ushindi last season, au wapinzani are getting better?

Napenda combo ya McLaren, madereva wake Piastri na Norris hawaachani imanaanisha both cars na drivers wana vipaji vinavyoendana, sio kama Redbull sometimes tunasahau kama Perez anashiriki.

Okay, kila lakheri Max officially naomba nipumzike kukushabia maana stress!
Mkuu mbona unaongea vitu vigumu sana
 
Hii kwa wadau wa Formula 1.

Bingwa wa Dunia mara 3, Max Verstappen aka Super Max mbona sahivi anaendesha "chini" ya kiwango?

Nimetoka kuangalia Azerbaijan Grand Prix sahivi jamaa ata Podium hajapanda, kamaliza P5.
View attachment 3096528
Iliopita Italian GP alimaliza P6, Dutch P2, Belgian P4, Hungarian P5, British P2 na kuendelea. Yaani race tano Podium moja???

Tumezoea msimu uliopita P1 ni yake kuanzia Qualifications hadi Race day, ila sahivi dah.

Shida nini, maana kama ni gari Redbull wanasema RB20 ni the best version ya RB19 lililompa ushindi last season, au wapinzani are getting better?

Napenda combo ya McLaren, madereva wake Piastri na Norris hawaachani imanaanisha both cars na drivers wana vipaji vinavyoendana, sio kama Redbull sometimes tunasahau kama Perez anashiriki.

Okay, kila lakheri Max officially naomba nipumzike kukushabia maana stress!
Wewe ndugu yake wa damu ndiye unapaswa kutuletea habari kamili sisi mandugu-digitals.
 
Na Aston Martin msimu ujayo atakuwa na units za Honda... Na yule mchawi wa F1.... Pamoja na wind tunnel yake!

Hivyo Max ataendelea kuwa katika hali ngumu...
 
Back
Top Bottom