raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Huu mchezo wa magari naupenda kwenye kucheza game tuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Napenda kucheza game za magariAnza kufatilia kidogo, msimu ndio unaanza anza!
Naona gari zinakimbizana tuu mwingine anaingia sehemu kubadili tyre anaachwa na wenzake sielewiMi umekua ugonjwa. Yaan anasema sitaangalia this GP unakuta uyoo naelekea Bar kucheki.
Mwamba yupo kwenye dunia yake upande wa magari 🙌Mkuu mbona unaongea vitu vigumu sana
Sasa si anapitwa na wenzakeYes, utamu ndio huo. Sio tu dereva na gari, bali hadi wabadirisha tyre wawe faster.
Mkuu mfano bar ipi wanaonyesha hayo mashindano huwa napata tamu sana kufatilia ila ni mshabiki mkubwa sana wa mbio za langalangaanasema
Upo Uzi wa MotoGP, Jukwaa la Sport, ila upo dolo...Sisi wa Moto GP tunakomenti wapi?