Planet Data bundles
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 2,403
- 4,362
DuuuChini ya milion 50 kuwekeza huko ni kupoteza muda.
so the logic ipo iviNaomba tafsiri ya hiyo picha.
Kwene DSE
Lini unaweza toa hela??
Je kama hisa zinashuka unaweza ziuza ili usipate hasara??
Ukiuza hisa ulizo hold inachukua muda gan kupata hela yako??
Je kuna ufanano kati ya liquid acc ya utt na Hisa za DsE kwene mfumo wa kutoa hela? Maana utt siku tatu za kazi unapokea hela yako
View attachment 3532270
Sio kweli, kuna watu walinza kudunduliza hisa 10 10 na leo wako mbaliChini ya milion 50 kuwekeza huko ni kupoteza muda.
Umeshasema watu, usipende kupigia mfano watu jiangalie wewe kama wewe, jichanganye usije kutuletea msiba hapa.Sio kweli, kuna watu walinza kudunduliza hisa 10 10 na leo wako mbali
Mkuu ningependa uwe unanipa shule zaidi yaan bado mweupeso the logic ipo ivi
1) ili uweze kuuza hisa zako lazima kue na mtu anataka kununua upande wa pili or else itabidi ufe nazo, unatakiwa ujifunze kitu kinaitwa LIQUIDITY(UKWASI)
2) ukisema uziuze usipate hasara ni uongo kwa sababu bei utakayouzia itategemea wanaonunua wanazitaka kwa bei gan, price unayoiona apo inaitwa MARKET PRICE bei ya mwisho ya biashara kufanyika na sio thamani ya hisa, price inaweza kua 100 lakini ukauziwa hisa kwa 200
Kweli aiseeWEKA HELA AMBAYO ULIPANGA KUHONGA UKO KIDIGO KIDOGO BAADAE UNATUSAHAU HUMU JF KWA MAKAPUKU
Inaingia kwene no ya simu au acc ya bano maana sijaona sehemu tunajaza acc ya benk kwene usajiliUnaweza kuuza anytime ukitaka ikishuka ikipanda haijalishi , kwa DSE settlement ni siku mbili, ukiuza leo unapata cash after 2 days
Bora ww umeniambia ndo ninachofanya kila siku kila muda naangaliaUkinunua hisa hutakiwi kuangalia kila siku 🤣🤣🤣
Ni kweli hasa kama umeweka hela ya matumiziNaona watu wengi wanaenda huko kwa pupa anachukua hela zake zote na kudumbukiza humo, kuna milio inaenda kutoka
Sio kweliChini ya milion 50 kuwekeza huko ni kupoteza muda.
Nimeuza wiki zima sijapata elaUnaweza kuuza anytime ukitaka ikishuka ikipanda haijalishi , kwa DSE settlement ni siku mbili, ukiuza leo unapata cash after 2 days
imeanza kuonaMambo ya hisa ni kama Forex tu ni BAHATISHA NDULUTE.