Ironbutterfly
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 3,042
- 8,227
Sasa angekuwa na shule angekuja kulialia huku jf🤣🤣saivi angekuwa bize kuorganize team yake ya upigaji,Kama Prof wa money heist🙏tukistuka tushalizwaa🤣🤣Sawa ila ni ngumu kumkamata mwizi mwenye shule 😂
Umeshinda 😂🙌Sasa angekuwa na shule angekuja kulialia huku jf🤣🤣saivi angekuwa bize kuorganize team yake ya upigaji,Kama Prof wa money heist🙏tukistuka tushalizwaa🤣🤣
Mwambie huyu kijana siku hizi ujuzi ndio utakao kufanya upate vitu kiwepesi, alafu hawa madogo wa shule wanapata wapi muda wa kuwa na matarajio makubwa ilihali wanawaona kaka zao mitaani mwaka wa9 huu hawana kazi, hawabagui kazi wala mishahara, huyu kijana nina uhakika akipata hiyo deal lazima aibe[emoji16], na nina uhakika zaidi huyu kijana atakujia inbox, nahakika zaidi PM yako itajaa sana omba-omba kibao[emoji23].[emoji23][emoji23][emoji23]daah kijana una guts ll give you that , speaking as a multi millionaire Wacha nikupe facts
1: hamna mtu atakupa management ya hundreds of millions na ndo umetoka chuo .Kijana wangu mwenyewe first born simwachi akaribie accounts kisa bado Yuko inexperienced
2: Kama ndo umetoka chuo you have a lot to learn ,huku nje life itakufunza tu humbly ,usichague kazi eti 100m per day ..start somewhere and grow as you go .
Naingiza millioni 800 kwa mwaka minimum na ushuru tu na compliance inanila akili na expirience ninayo Sasa itakuwa ww fresh graduate.
Anza somewhere grow ukiendelea
Dogo anataka u emeneja🤣🤣hamtaelewana🙏 expectations zake ni kubwa sana,yani beyond and above[emoji23][emoji23][emoji23]daah kijana una guts ll give you that , speaking as a multi millionaire Wacha nikupe facts
1: hamna mtu atakupa management ya hundreds of millions na ndo umetoka chuo .Kijana wangu mwenyewe first born simwachi akaribie accounts kisa bado Yuko inexperienced
2: Kama ndo umetoka chuo you have a lot to learn ,huku nje life itakufunza tu humbly ,usichague kazi eti 100m per day ..start somewhere and grow as you go .
Naingiza millioni 800 kwa mwaka minimum na ushuru tu na compliance inanila akili na expirience ninayo Sasa itakuwa ww fresh graduate.
Anza somewhere grow ukiendelea
Imebidi niimpe advice ,nlipotoka chuo nlikuwa napiga boda na nlikuwa wakili graduate ,baada ya mwaka ndo nlipata line na bado Hela yenyewe ilikuwa mbuzi ...Sasa nashangaa hapa fresh graduate anatafuta kazi na masharti ya revenue , nimecheka Sana ila maisha haya fundi ,ataelewa tu in timeMwambie huyu kijana siku hizi ujuzi ndio utakao kufanya upate vitu kiwepesi, alafu hawa madogo wa shule wanapata wapi muda wa kuwa na matarajio makubwa ilihali wanawaona kaka zao mitaani mwaka wa9 huu hawana kazi, hawabagui kazi wala mishahara, huyu kijana nina uhakika akipata hiyo deal lazima aibe[emoji16], na nina uhakika zaidi huyu kijana atakujia inbox, nahakika zaidi PM yako itajaa sana omba-omba kibao[emoji23].
Goodluck ktk kuwapokea member uko PM
Huyu si ndio yule hataki wenzie wafungue studio😅😅😅?si ulisema we ni mfanyabiashara??
Sasa mauzo wewe yanakuhusu nini ilhali unalipwa mshahara? Hata kama hauuzi na unalipwa kuna tatizo gani, au unawaza kumuibia boss wakoNimerekebisha mkuu hapo kwenye uzi wangu nilikuwa nasema biashara iwe na mauzo atleast 100m per day. Kuhusu mshahara ni makubaliano mkuu
anaogopa ushindani😂Huyu si ndio yule hataki wenzie wafungue studio😅😅😅?
Halafu naona kasomea biashara,sa itakuwaje?anaogopa ushindani😂
kasomea biashara afu anashangaa ushindani?? arudie tena kusomaHalafu naona kasomea biashara,sa itakuwaje?
Kuna mwenye kuhitaji uniunganishe naeFigo
Ahahaha natania mkuu..Kuna mwenye kuhitaji uniunganishe nae