Wakuu nipeni michongo ya pesa ndefu

Wakuu nipeni michongo ya pesa ndefu

Sawa ila ni ngumu kumkamata mwizi mwenye shule 😂
Sasa angekuwa na shule angekuja kulialia huku jf🤣🤣saivi angekuwa bize kuorganize team yake ya upigaji,Kama Prof wa money heist🙏tukistuka tushalizwaa🤣🤣
 
[emoji23][emoji23][emoji23]daah kijana una guts ll give you that , speaking as a multi millionaire Wacha nikupe facts

1: hamna mtu atakupa management ya hundreds of millions na ndo umetoka chuo .Kijana wangu mwenyewe first born simwachi akaribie accounts kisa bado Yuko inexperienced
2: Kama ndo umetoka chuo you have a lot to learn ,huku nje life itakufunza tu humbly ,usichague kazi eti 100m per day ..start somewhere and grow as you go .

Naingiza millioni 800 kwa mwaka minimum na ushuru tu na compliance inanila akili na expirience ninayo Sasa itakuwa ww fresh graduate.
Anza somewhere grow ukiendelea
 
PUMBAVU KAMA SALAMU...yaan kijana umemaliza jana tu tayar umeanza kiburi na dharau unataka kaz za pesa ndefu, hizo pesa umetafuta ww?

Wanachuo bana yaan mmedanganyana huko na wenzio ukaona uje humu utuchezee akili[emoji16].

Oyaa wee kazi hakuna, jiajirini, hiyo kazi unayotaka ni either uwe na connection ndefu na madalali katikati, ama uwe mtoto wa kigogo serikalin ama uwe na PhD/Masters ya Coz zinazoeleweka kama MD, Engeneering, uruban, electrical education, Geology of petroleum, Radiation therapy, sio unakuja tu na degree zako za kuunga unga alafu unataka pesa ndefu, vijana kuweni na adabu.

Nenda Njombe huko tayari maandalizi ya kuvuna miti ya mbao na kutayarisha mashamba ya ngano yameanza omba connection ya watu humu wakupe ukawe kibarua.

Acha kuchagua kazi maisha yatakunyoosha.

ONYO: vijana acheni kujipa matumaini feki baada ya kumaliza shule, fanyeni kazi, uhalisia mtauona baada ya muda, endeleeni kuota, soon mtaamshwa na kichapo cha maisha.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]daah kijana una guts ll give you that , speaking as a multi millionaire Wacha nikupe facts

1: hamna mtu atakupa management ya hundreds of millions na ndo umetoka chuo .Kijana wangu mwenyewe first born simwachi akaribie accounts kisa bado Yuko inexperienced
2: Kama ndo umetoka chuo you have a lot to learn ,huku nje life itakufunza tu humbly ,usichague kazi eti 100m per day ..start somewhere and grow as you go .

Naingiza millioni 800 kwa mwaka minimum na ushuru tu na compliance inanila akili na expirience ninayo Sasa itakuwa ww fresh graduate.
Anza somewhere grow ukiendelea
Mwambie huyu kijana siku hizi ujuzi ndio utakao kufanya upate vitu kiwepesi, alafu hawa madogo wa shule wanapata wapi muda wa kuwa na matarajio makubwa ilihali wanawaona kaka zao mitaani mwaka wa9 huu hawana kazi, hawabagui kazi wala mishahara, huyu kijana nina uhakika akipata hiyo deal lazima aibe[emoji16], na nina uhakika zaidi huyu kijana atakujia inbox, nahakika zaidi PM yako itajaa sana omba-omba kibao[emoji23].

Goodluck ktk kuwapokea member uko PM
 
Dogo anataka u emeneja🤣🤣hamtaelewana🙏 expectations zake ni kubwa sana,yani beyond and above
 
Mwambie huyu kijana siku hizi ujuzi ndio utakao kufanya upate vitu kiwepesi, alafu hawa madogo wa shule wanapata wapi muda wa kuwa na matarajio makubwa ilihali wanawaona kaka zao mitaani mwaka wa9 huu hawana kazi, hawabagui kazi wala mishahara, huyu kijana nina uhakika akipata hiyo deal lazima aibe[emoji16], na nina uhakika zaidi huyu kijana atakujia inbox, nahakika zaidi PM yako itajaa sana omba-omba kibao[emoji23].

Goodluck ktk kuwapokea member uko PM
Imebidi niimpe advice ,nlipotoka chuo nlikuwa napiga boda na nlikuwa wakili graduate ,baada ya mwaka ndo nlipata line na bado Hela yenyewe ilikuwa mbuzi ...Sasa nashangaa hapa fresh graduate anatafuta kazi na masharti ya revenue , nimecheka Sana ila maisha haya fundi ,ataelewa tu in time
 
Huku tunaelekea ni wap et mtu unadiriki kusema kabisa 100M perday unaakili ww alafu uajiriwe
 
Nimerekebisha mkuu hapo kwenye uzi wangu nilikuwa nasema biashara iwe na mauzo atleast 100m per day. Kuhusu mshahara ni makubaliano mkuu
Sasa mauzo wewe yanakuhusu nini ilhali unalipwa mshahara? Hata kama hauuzi na unalipwa kuna tatizo gani, au unawaza kumuibia boss wako
 
Back
Top Bottom