PUMBAVU KAMA SALAMU...yaan kijana umemaliza jana tu tayar umeanza kiburi na dharau unataka kaz za pesa ndefu, hizo pesa umetafuta ww?
Wanachuo bana yaan mmedanganyana huko na wenzio ukaona uje humu utuchezee akili[emoji16].
Oyaa wee kazi hakuna, jiajirini, hiyo kazi unayotaka ni either uwe na connection ndefu na madalali katikati, ama uwe mtoto wa kigogo serikalin ama uwe na PhD/Masters ya Coz zinazoeleweka kama MD, Engeneering, uruban, electrical education, Geology of petroleum, Radiation therapy, sio unakuja tu na degree zako za kuunga unga alafu unataka pesa ndefu, vijana kuweni na adabu.
Nenda Njombe huko tayari maandalizi ya kuvuna miti ya mbao na kutayarisha mashamba ya ngano yameanza omba connection ya watu humu wakupe ukawe kibarua.
Acha kuchagua kazi maisha yatakunyoosha.
ONYO: vijana acheni kujipa matumaini feki baada ya kumaliza shule, fanyeni kazi, uhalisia mtauona baada ya muda, endeleeni kuota, soon mtaamshwa na kichapo cha maisha.