Wakuu nipeni ramani ya kusafirisha vitu vya nyumbani kutoka Magu-Mwanza hadi morogoro

Dodoma leo

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2021
Posts
1,336
Reaction score
1,658
Naomba kupata connection ya kuweza kusafirisha vyombo vya nyumbani kutoka magu kwenda morogoro. Hasa nikitegemea magari yanayotokaka mara au musoma yanayorudi bila mzigo, pia Kama kuna gari ya uhakika kuanzia mwanza nistueni nisogeze mzigo
 
Fanya hivi nenda pale Mwanza Railway Station ulizia kaka wanafanya hiyo huduma ya kusafirisha mizigo na gharama wakisema ndio basi fanya utakaloweza kubeba mizigo yako kutoka Magu hadi Mwanza sio mbali sana then unaisafirisha kwa Gari moshi (Nasikia sio gharama sana kulinganisha na Gari) toka Mwanza hadi Morogoro mkuu
 
Asante Kwa wazo Lako
 
piga mnada kanunue vingine moro au vizia magali ya mwanza huduma yatakushusha msavu
 
Fanya hivi nenda pale Mwanza Railway Station ulizia kaka wanafanya hiyo huduma ya kusafirisha mizigo na gharama wakisema ndio basi fanya utakaloweza kubeba mizigo yako kutoka Magu hadi Mwanza sio mbali sana then unaisafirisha kwa Gari moshi (Nasikia sio gharama sana kulinganisha na Gari) toka Mwanza hadi Morogoro mkuu
umemaliza mkuu
 
Naomba kupata connection ya kuweza kusafirisha vyombo vya nyumbani kutoka magu kwenda morogoro. Hasa nikitegemea magari yanayotokaka mara au musoma yanayorudi bila mzigo, pia Kama kuna gari ya uhakika kuanzia mwanza nistueni nisogeze mzigo
magari kutoka musoma kwenda dar/morogoro hayapiti magu/mwanza, yanapitia bariadi
 
Naomba kupata connection ya kuweza kusafirisha vyombo vya nyumbani kutoka magu kwenda morogoro. Hasa nikitegemea magari yanayotokaka mara au musoma yanayorudi bila mzigo, pia Kama kuna gari ya uhakika kuanzia mwanza nistueni nisogeze mzigo

Ukweli magari mengi hasa malori hayapiti njia hiyo baada ya ile ya kutokea shinyanga, lamadi na maswa kukamilika, njia rahisi muone mtendaji wa mtaa akuandikie barua ya uhamisho agonge muhuri kuepusha usumbufu barabarani, ukivumilia hata hapo magu nenda kwa wanaoshusha mizigo ya duka kutoka Dar hasa vifaa vya ujenzi au magari ya vinywaji kutoka Dar na zaidi hapo kuna madalali magu wapo utawaona na issue itaisha vizuri tu, au uvisogeze mwanza hadi usagara muuzani ukiwa na ile barua kupata gari pale ni dakika moja kama kesho jioni uko moro tayari,
 
Vizia magari yanayoshusha mizigo hapo mwanza ukishindwa beba hadi Usagara pale mizani.

Pia angalia inbox yako.
 
Mkuu kama unalokabati la nguo naomba nikuchangie nauli chap
 
Naomba kupata connection ya kuweza kusafirisha vyombo vya nyumbani kutoka magu kwenda morogoro. Hasa nikitegemea magari yanayotokaka mara au musoma yanayorudi bila mzigo, pia Kama kuna gari ya uhakika kuanzia mwanza nistueni nisogeze mzigo
Tafuta namna ya kusafirisha vitu vyako kutoka magu Hadi mwanza mjini ukifika mjini Kuna magari mengi Sana huwa yanarudi dar bila ya mizigo.
Nenda sehemu hizi tatu utapata magari;
1. Pepsi Kuna magari huwa yanashushia mizigo pale na yanarudi dar bila mizigo.
2. Mkuyuni kaongee na jamaa wa magari ya Mwanza Huduma huwa wanaenda Dar karibia kila siku wanaweza kukubebea.
3. Nyegezi Kona Kuna magari pia huwa hayakosekani pale.
NAWASILISHA.
 
Back
Top Bottom