Dodoma leo
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 1,336
- 1,658
Fanya hivi nenda pale Mwanza Railway Station ulizia kaka wanafanya hiyo huduma ya kusafirisha mizigo na gharama wakisema ndio basi fanya utakaloweza kubeba mizigo yako kutoka Magu hadi Mwanza sio mbali sana then unaisafirisha kwa Gari moshi (Nasikia sio gharama sana kulinganisha na Gari) toka Mwanza hadi Morogoro mkuuNaomba kupata connection ya kuweza kusafirisha vyombo vya nyumbani kutoka magu kwenda morogoro. Hasa nikitegemea magari yanayotokaka mara au musoma yanayorudi bila mzigo, pia Kama kuna gari ya uhakika kuanzia mwanza nistueni nisogeze mzigo
Fanya hivi nenda pale Mwanza Railway Station ulizia kaka wanafanya hiyo huduma ya kusafirisha mizigo na gharama wakisema ndio basi fanya utakaloweza kubeba mizigo yako kutoka Magu hadi Mwanza sio mbali sana then unaisafirisha kwa Gari moshi (Nasikia sio gharama sana kulinganisha na Gari) toka Mwanza hadi Morogoro mkuu
Asante Kwa wazo Lako
Wana hio huduma?Nenda posta kawaulizie
piga mnada kanunue vingine moro au vizia magali ya mwanza huduma yatakushusha msavuNaomba kupata connection ya kuweza kusafirisha vyombo vya nyumbani kutoka magu kwenda morogoro. Hasa nikitegemea magari yanayotokaka mara au musoma yanayorudi bila mzigo, pia Kama kuna gari ya uhakika kuanzia mwanza nistueni nisogeze mzigo
Ndiyo.Wana hio huduma?
piga mnada kanunue vingine moro au vizia magali ya mwanza huduma yatakushusha msavu
Kuuza pagumu kweli kwani nitauza Kwa hasara sanapiga mnada kanunue vingine moro au vizia magali ya mwanza huduma yatakushusha msavu
umemaliza mkuuFanya hivi nenda pale Mwanza Railway Station ulizia kaka wanafanya hiyo huduma ya kusafirisha mizigo na gharama wakisema ndio basi fanya utakaloweza kubeba mizigo yako kutoka Magu hadi Mwanza sio mbali sana then unaisafirisha kwa Gari moshi (Nasikia sio gharama sana kulinganisha na Gari) toka Mwanza hadi Morogoro mkuu
magari kutoka musoma kwenda dar/morogoro hayapiti magu/mwanza, yanapitia bariadiNaomba kupata connection ya kuweza kusafirisha vyombo vya nyumbani kutoka magu kwenda morogoro. Hasa nikitegemea magari yanayotokaka mara au musoma yanayorudi bila mzigo, pia Kama kuna gari ya uhakika kuanzia mwanza nistueni nisogeze mzigo
Naomba kupata connection ya kuweza kusafirisha vyombo vya nyumbani kutoka magu kwenda morogoro. Hasa nikitegemea magari yanayotokaka mara au musoma yanayorudi bila mzigo, pia Kama kuna gari ya uhakika kuanzia mwanza nistueni nisogeze mzigo
Tafuta namna ya kusafirisha vitu vyako kutoka magu Hadi mwanza mjini ukifika mjini Kuna magari mengi Sana huwa yanarudi dar bila ya mizigo.Naomba kupata connection ya kuweza kusafirisha vyombo vya nyumbani kutoka magu kwenda morogoro. Hasa nikitegemea magari yanayotokaka mara au musoma yanayorudi bila mzigo, pia Kama kuna gari ya uhakika kuanzia mwanza nistueni nisogeze mzigo
Asante Kwa sasa chafikiria kuuza chochoteMkuu kama unalokabati la nguo naomba nikuchangie nauli chap