Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,074
Embu tukuhoji, wana chura?
Mkuu nipo kitongoji cha nyashimo hapa. Fanya tuonane ni kama km 25 kufika lisbon
Sawa mkuu naona umeenda kwa Mabeberu
Ha ha ha!!hivi hakuna mtu jirani apo akupige kofi la nguvu ili uzinduke usingizini..
Matumizi mabovu ya usingizi
Nimetua hapa Portugal kwa muda nafanya ziara ya muda mfupi yaani kuna totozi sio mchezo nimejaribu kuchunguza sijabahatika hata kukutana na mtoto mbaya.
Wakuu kama huna pesa ya mawazo njoo tujiunge kwa pamoja huku au kama upo hapa Lisboa tuchekiane wakuu nitatulia hapa kwa wiki tatu tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwa makini mabeberu yasije kukupanda
sasa una sema upo lisbon hata picha ya stand huja weka tuku eleweje mzee baba
aya subiri watajileta tu wenyewe piemu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiduku lilo hujamuona uko maana ndo viwanja vyake ivyo