Wakuu nipo hapa Portugal nawakilisha vema JamiiForums

Muuza simu used

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Posts
4,393
Reaction score
7,074
Nimetua hapa Portugal kwa muda nafanya ziara ya muda mfupi yaani kuna totozi sio mchezo nimejaribu kuchunguza sijabahatika hata kukutana na mtoto mbaya.

Wakuu kama huna pesa ya mawazo njoo tujiunge kwa pamoja huku au kama upo hapa Lisboa tuchekiane wakuu nitatulia hapa kwa wiki tatu tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lisboa Portugal ..............................................

Back
Top Bottom