Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,074
Nimetua hapa Portugal kwa muda nafanya ziara ya muda mfupi yaani kuna totozi sio mchezo nimejaribu kuchunguza sijabahatika hata kukutana na mtoto mbaya.
Wakuu kama huna pesa ya mawazo njoo tujiunge kwa pamoja huku au kama upo hapa Lisboa tuchekiane wakuu nitatulia hapa kwa wiki tatu tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu kama huna pesa ya mawazo njoo tujiunge kwa pamoja huku au kama upo hapa Lisboa tuchekiane wakuu nitatulia hapa kwa wiki tatu tu.
Sent using Jamii Forums mobile app