Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
- Thread starter
- #21
Ashaniacha kitambo mkuuUnamuacha MAMIE SWALEHE?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ashaniacha kitambo mkuuUnamuacha MAMIE SWALEHE?
Subiri bado ipo ubungoMbona sijaona?!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jichetue upate demu ohoooo!!!Sina mbavu [emoji2]
Lowassa akiwa raisi naukana urai wa nchii hii na ni bora nihamie Somalia hata kama hakuna serikali.
Sawa mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jichetue upate demu ohoooo!!!
Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
Au mfuate kinguvu mwambie "Kuanzia leo wewe ni mpenzi wangu"Sawa mkuu
[emoji2][emoji2]Au mfuate kinguvu mwambie "Kuanzia leo wewe ni mpenzi wangu"
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa nn mkuuMkuu balidilisha avatar yako alafu ndio uje uniombe ushaur
Kwa nn mkuu
Hahaah sh ngapiSio mbaya mama
Anza kuchangia sa hivi
Ultaka nweke picha gan mkuuWe unaona hiyo pic ipo pow?
Nakusanya ramb ramb mkuuBora ufe tu kama kutongoza unashindwa utawezaje kuwa kiongozi wa familia?
Mia saba itantosha mkuu nkawasaidie wahanga huko kuzimHahaah sh ngapi
nipe namba zake za simu nitakupa mrejeshoWakuu daah kuna mdada nampenda sana yaani aisee
niliyopata huyu naona ndo ananifaa yaani nioe jamani
Shida inakuja kwamba dah hivi wanawake mnapendaga nini mnapotongozwa ...
Na mamen wenzangu mnatumia technique gani daah ...!!!
Yaani huyu kama ni hela kwao wana hela na ni mtoto wa kigogo
Yaani wakuu mi nakufa kwa huyu mtoto yaan swaga sina kabisa nisaidien
Atakayefanikiwa kunisaidia ntamwachia kibanda changu cha kuchajia chaji !!! [emoji22]
Please brazas and sistas