Wakuu nisaidieni daah nakufa mwenzenu

Wakuu nisaidieni daah nakufa mwenzenu

Unakufa huku unaandika wosia sio, nadhani hii ndio njia rahisi hakuoni hata uso wala jina hatalijua.
 
utakufaje mkuu?
unataka utuache tuteseke na jiwe wenyewe?.,
kufa hautakufa ila utapata tabu sana....
 
Wakuu daah kuna mdada nampenda sana yaani aisee

niliyopata huyu naona ndo ananifaa yaani nioe jamani

Shida inakuja kwamba dah hivi wanawake mnapendaga nini mnapotongozwa ...

Na mamen wenzangu mnatumia technique gani daah ...!!!

Yaani huyu kama ni hela kwao wana hela na ni mtoto wa kigogo

Yaani wakuu mi nakufa kwa huyu mtoto yaan swaga sina kabisa nisaidien

Atakayefanikiwa kunisaidia ntamwachia kibanda changu cha kuchajia chaji !!! [emoji22]

Please brazas and sistas
nipe namba zake za simu nitakupa mrejesho
 
Back
Top Bottom