Paul dybala
JF-Expert Member
- Jul 30, 2023
- 524
- 2,097
Wakuu, mimi nimechoka kupiga puli, nimechoka kulala peke yangu, nimechoka kuvaa nguo za kurudia, nimechoka kula kwenye mgahawa naogopa kulea watoto nikiwa mzee, mtu mwenye dada au ndugu wa kike tupeane connection mimi niko tayari kuoa.
Umri wangu miaka 32.
Kazi bado sina ila najishughulisha na vibarua kiwandani.
Nimelia sana wakuu.
Umri wangu miaka 32.
Kazi bado sina ila najishughulisha na vibarua kiwandani.
Nimelia sana wakuu.