ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 14,949
- 54,485
Kuowa❌Sasa huna kazi halafu unataka kuowa? usijaribu hiyo kitu.
Kuoa✅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuowa❌Sasa huna kazi halafu unataka kuowa? usijaribu hiyo kitu.
Kama weae ni kijana mpiga nyeto alafu ukimaliza unajutia, basi bado upo levels za chini. Sie konki masters ukimaliza bao la kwanza unaenda upasha tena mlenda ili upige na cha pili ukalale vizuri🤣🤣🤣🤣Hii hali humtokea kila mtu baada ya kupiga punyeto lazima ujutie najua niege zikiota tena utasahau utajilipua halaf ukimaliza shetani anakuja kukumbusha ulivyofala
Msio na wake mnataka kuoa, wenye wake tunatamani kuwaacha.Wakuu, mimi nimechoka kupiga puli, nimechoka kulala peke yangu, nimechoka kuvaa nguo za kurudia, nimechoka kula kwenye mgahawa naogopa kulea watoto nikiwa mzee, mtu mwenye dada au ndugu wa kike tupeane connection mimi niko tayari kuoa.
Umri wangu miaka 32.
Kazi bado sina ila najishughulisha na vibarua kiwandani.
Nimelia sana wakuu.
nyie mshafikia level za shetani ndio maana hawakumbushi tena mlivyo mafala 😁😁Kama weae ni kijana mpiga nyeto alafu ukimaliza unajutia, basi bado upo levels za chini. Sie konki masters ukimaliza bao la kwanza unaenda upasha tena mlenda ili upige na cha pili ukalale vizuri🤣🤣🤣🤣
Hii sio sababu ya kuoa mate.Sijapiga leo ni vile nakosewa heshima na watoto wadogo wananchukulia poa kisa sina mke
Pole mkuu mbona wanawake wako wengi tu mtaani!Wakuu, mimi nimechoka kupiga puli, nimechoka kulala peke yangu, nimechoka kuvaa nguo za kurudia, nimechoka kula kwenye mgahawa naogopa kulea watoto nikiwa mzee, mtu mwenye dada au ndugu wa kike tupeane connection mimi niko tayari kuoa.
Umri wangu miaka 32.
Kazi bado sina ila najishughulisha na vibarua kiwandani.
Nimelia sana wakuu.
Bora utafute hata danga huko mtaani uishi nalo huku unajua kabisa mke wangu ni danga kuliko kupoteza muda wako kutafuta mke mtandaoni utakuja kulia sana. Shauri yakoWakuu, mimi nimechoka kupiga puli, nimechoka kulala peke yangu, nimechoka kuvaa nguo za kurudia, nimechoka kula kwenye mgahawa naogopa kulea watoto nikiwa mzee, mtu mwenye dada au ndugu wa kike tupeane connection mimi niko tayari kuoa.
Umri wangu miaka 32.
Kazi bado sina ila najishughulisha na vibarua kiwandani.
Nimelia sana wakuu.
Mzeya sio kwa kupenda...ajira hamna mbususu zimepanda bei sasa utafanyaje....ni nyeto tuu na mlenda vuguvugunyie mshafikia level za shetani ndio maana hawakumbushi tena mlivyo mafala 😁😁
Mkuu kula sio tatizo atakula nitamtunza piaSasa tukikupa mke mtakula nini au nyuzi za jf? Jitafute kwanza.
Awe kabila gani? Kama unaweza kutunza na upo siriazi nikulengeshe kwa mtu.Mkuu kula sio tatizo atakula nitamtunza pia
nakutumia namba ya mmoja ana zinga la shepu. anataka mume. ni mzuri wa sura na tabia. alishachoka kudanga.Wakuu, mimi nimechoka kupiga puli, nimechoka kulala peke yangu, nimechoka kuvaa nguo za kurudia, nimechoka kula kwenye mgahawa naogopa kulea watoto nikiwa mzee, mtu mwenye dada au ndugu wa kike tupeane connection mimi niko tayari kuoa.
Umri wangu miaka 32.
Kazi bado sina ila najishughulisha na vibarua kiwandani.
Nimelia sana wakuu.