Paul dybala
JF-Expert Member
- Jul 30, 2023
- 524
- 2,097
Asante,..Huna ndugu anataka mume?Pole Sana.
Sijapiga leo ni vile nakosewa heshima na watoto wadogo wananchukulia poa kisa sina mkeHii hali humtokea kila mtu baada ya kupiga punyeto lazima ujutie najua niege zikiota tena utasahau utajilipua halaf ukimaliza shetani anakuja kukumbusha ulivyofala
😂😂😂Nimelia sana wakuu.
Alafu 32 tu ndio anapiga yowee, atulie bhanaa mimi nikajua yupo 45+Bado haujasema..
Mkuu 45 ni mingi sanaAlafu 32 tu ndio anapiga yowee, atulie bhanaa mimi nikajua yupo 45+
Kijana aache wenge, ale maisha..kuoa sio sheria
Ndio mkuuHizo ndio sababu za kuoa?
Nenda kwa wazazi wako wakutafutie sio hapa JFWakuu, mimi nimechoka kupiga puli, nimechoka kulala peke yangu, nimechoka kuvaa nguo za kurudia, nimechoka kula kwenye mgahawa naogopa kulea watoto nikiwa mzee, mtu mwenye dada au ndugu wa kike tupeane connection mimi niko tayari kuoa.
Umri wangu miaka 32.
Kazi bado sina ila najishughulisha na vibarua kiwandani.
Nimelia sana wakuu.