Stability JF-Expert Member Joined Jan 30, 2020 Posts 306 Reaction score 706 Aug 22, 2024 #1 Sasa imekuwa too much yani mivumo na sauti za kengele , muda mwingine masikio yanawasha muda mwingine una hisi masikio kama yamejaa. Uliwahi kupata hii hali? Tusaidiane namna uliyoweza kujinasua.
Sasa imekuwa too much yani mivumo na sauti za kengele , muda mwingine masikio yanawasha muda mwingine una hisi masikio kama yamejaa. Uliwahi kupata hii hali? Tusaidiane namna uliyoweza kujinasua.
uhurumoja JF-Expert Member Joined Mar 2, 2014 Posts 9,616 Reaction score 22,521 Aug 22, 2024 #2 Wahi hospital mapema sana pata Tiba sahihi achana na masuala ya kuita watu "wakuu"mara mkuu kwenye afya nenda hospital haraka
Wahi hospital mapema sana pata Tiba sahihi achana na masuala ya kuita watu "wakuu"mara mkuu kwenye afya nenda hospital haraka