Koffi Annan
JF-Expert Member
- Dec 23, 2018
- 2,637
- 8,057
Angalia jamii inayokuzunguka inakosa kitu gani cha muhimu then geuza izo changamoto kukupa faida inategemea ulipo kuna changamoto gani kulingana na mazingira yako joh.Miaka inaenda mshahara una koma moja naishia kula na kulipa watu kodi huku inabidi kuanzisha familia
Kwa wenye uzoefu na mazingira ya Dodoma ni side hustle gani inaweza kuingiza kipato iwe mazingira ya mjini au hata pembezoni ila kwenye kata za watu wengi
Kama kuna fursa yeyote ya biashara mtu umeiona ya mtaji mdogo au hata kushirikiana tusanuane wakuu
Aloo ni kweli mkuu, ila kuna wale wapo wanaona fursa hii hapa ambayo inaweza kuwa boraAngalia jamii inayokuzunguka inakosa kitu gani cha muhimu then geuza izo changamoto kukupa faida inategemea ulipo kuna changamoto gani kulingana na mazingira yako joh.
FungukaNdo yanayonikuta mimi now
Dodoma siyo jiji la kibiashara.kwa mtumishi hakuna biashara inayoweza kukuingizia pesa labda kama ni mkatoliki fuga nguruwe pia kuku wa kienyeji,ukifunga wa kisasa hiyo mikoa hawana dili wanapenda kuku asiliaMiaka inaenda mshahara una koma moja naishia kula na kulipa watu kodi huku inabidi kuanzisha familia
Kwa wenye uzoefu na mazingira ya Dodoma ni side hustle gani inaweza kuingiza kipato iwe mazingira ya mjini au hata pembezoni ila kwenye kata za watu wengi
Kama kuna fursa yeyote ya biashara mtu umeiona ya mtaji mdogo au hata kushirikiana tusanuane wakuu
NB: muda ninao kwani kazi yangu hainibani sana saa nane tu nakua free
Soko la nguruwe lipo mkuuDodoma siyo jiji la kibiashara.kwa mtumishi hakuna biashara inayoweza kukuingizia pesa labda kama ni mkatoliki fuga nguruwe pia kuku wa kienyeji,ukifunga wa kisasa hiyo mikoa hawana dili wanapenda kuku asilia
1. In bucket listkuwa dalali
Kweli mkuu, ila kuna fursa ambazo zinahitaji muda kidogo ndio mana nikaja hapa kwenye watu wengiHuwezi kutumikia mabwana wawili kwa wakati mmoja. Hiyo side hustle kama Haina usimamizi kamili utapigwa tu. Kama mshahara haukutoshi acha kazi ingia mtaani.
Asante sana mkuu kwa nondo kaliFuga kuku,ama nguruwe,Bata,Bata mzinga...ni UFUGAJI TU MKUU.
MAHITAJI ya nguruwe,kuku,Bata ,Bata mzinga..ni makubwa kwa hiyo miji MIKUBWA
Tafuta eneo pembeni ya mji tafuta na bike uishi pembeni ya mji UFUGE itakulipa ,na kulima bustani za umwagiliaji hata KILIMO Cha mboga mboga matunda ya umwagiliaji inakubali kwa ardhi ya Dodoma,changamoto ni MAJI TU ila ardhi ya Dodoma ni Virgin Ina rutuba haihitaji hata MBOLEA sana na VITU vinastawi... changamoto ni MAJI TU.
Lima kwenye eneo lako tafuta eneo pembeni ya mji SHAMBA uishi pembeni ya mji ila uwe na kaisafiri hata la BIKE
Well saidBana mshahara miezi mingapi chukua boda ,saa 8 ukitoka ingia road
💯💯Agiza Bidhaa kutoka karikoo na uuze huko vitu kama Viatu,nguo, electronic Dodoma ni gharama sana na vina mzunguko mkubwa sana nasema kutoka kwenye uzoefu wangu
avunjike mguu?Bana mshahara miezi mingapi chukua boda ,saa 8 ukitoka ingia road
Ni side hustle lakini risk yake inajulikana 🤔avunjike mguu?