Wakuu, nitumie mbinu gani hichi kikombe cha majukumu kinikimbie?

Acha utoto wewe mpe hela wala hutajutia huu ushauri.
 
Hakuna kitu sipendi kama kuwekewa mazingira ya kuliwa pesa zangu kwa kigezo cha mbunye.. Hapa haliwi mtuuu
 
Mwambie haisimami kituo
 
Ila we jamaaa ni fwala saaana[emoji23][emoji23]

Rikiboy's effects
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…