mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Kwa mfano nimenunua hisa za 85,000.baada ya kugawana naweza kupata hata 500,000 ikiwa tumepata faida?Quoted "
CDS au "Central Depository System" ni mfumo wa kompyuta unaotomiwa na CDSC kuweka akaunti za hisa kwa njia ya kielectroniki. Akaunti hizi huwa zimefunguliwa na wamiliki hisa kwa hivyo, mara kwa mara, CDS hutumika kubadilisha hisa kutoka akaunti moja hadi nyingine wakati hisa zinaponunuliwa na kuuzwa katika Soko la Hisa la Dar es Salaam.
Hivyo basi, kila mmiliki hisa katika kampuni zilizosajiliwa katika DSE ni lazima awe na akaunti ya CDS illi kuweza kushiriki katika kununua na kuuza hisa."
Gawio haliko constant inategemea na uzito wa hisa zako, mfano wa hisa za 5m hawezi pata gawio sawa na wa 85kKwa mfano nimenunua hisa za 85,000.baada ya kugawana naweza kupata hata 500,000 ikiwa tumepata faida?
Hauwezi kadiria.hisa za laki moja.utapata faida kiasi gani.Gawio haliko constant inategemea na uzito wa hisa zako, mfano wa hisa za 5m hawezi pata gawio sawa na wa 85k
Huwezi kadiria, hiyo ni biashara unawekeza Vodacom hivyo gawio lako litategemea wa(m)mepata faida kiasi gani, juzi kuna benk moja wanahisa wamepata gawio la shilingi tano😡😡Hauwezi kadiria.hisa za laki moja.utapata faida kiasi gani.
[emoji38] [emoji38] [emoji3] kweli bahati nasibu mkuu.ndo maana wanajishtukia wana kwambia uwe na mshauri was masuala ya kifedha.usije ukawashika mashati.Huwezi kadiria, hiyo ni biashara unawekeza Vodacom hivyo gawio lako litategemea wa(m)mepata faida kiasi gani, juzi kuna benk moja wanahisa wamepata gawio la shilingi tano😡😡
Usidanganye watu mwaka Jana faida ilishuka sio kwa sababu ya market share still Vodacom ndio leading kila eneo kuanzia uuzaji wa data service,mpesa mpaka muda wa maongezi na Wateja wengi,kilichopunguza faida ni gaovement policy kulikua na introduction ya kodi mbalimbali katika HUDUMA wanazotoza makampuni ya Simu kutoka kwa serikali na TCRA mfano utaona hata sasa ukiweka vocha utaona serikali inachukua asilimia 18 kabla ya hapo hiyo asilimia 18 ilikua inabaki kwa makampuni ya Simu na hivyo kutengeneza super profit miaka ya nyumaFaida ya voda inashuka kila mwaka sana sana mwaka juzi iliporomoka sana kutokana na halotel kuingia kazini, na Airtel Money na Tigopesa kuwa na huduma sawa na za voda.
Kampuni ya Mtandao inayoingiza faida kila nwaka kwa kukua ni Halotel Pekeake.
Hizo nyingne huwezi tabiri kama zitapata mauzo.
Alafu pia ukicheki kua serikali inelazimisha kampuni za mitandao wauze shares zao.
Sio kua Voda walihitaji mtaji. Hapana.
Yaani Halotel ulinganishe na Vodacom??kwa lipi??we jamaa bhana sijui hata kama unauelewa kidogo na mambo ya financial security, Vodacom still ndio leading company kuanzia kwenye uuzaji wa data ,Wateja,HUDUMA za mpesa pia HUDUMA za uuzaji muda wa mazungumzo yaani Halotel hii ndio unasema ni kampuni inakua??kampuni ambayo hata haijawai kurudisha fedha walizowekeza ulinganishe na Vodacom??in which aspect ambayo Halotel wanaizidi Vodacom??Faida ya voda inashuka kila mwaka sana sana mwaka juzi iliporomoka sana kutokana na halotel kuingia kazini, na Airtel Money na Tigopesa kuwa na huduma sawa na za voda.
Kampuni ya Mtandao inayoingiza faida kila nwaka kwa kukua ni Halotel Pekeake.
Hizo nyingne huwezi tabiri kama zitapata mauzo.
Alafu pia ukicheki kua serikali inelazimisha kampuni za mitandao wauze shares zao.
Sio kua Voda walihitaji mtaji. Hapana.
Kila baada ya mwaka mmoja means report ya fedha ya mwaka hutoka ambayo huonyesha kama kampuni imetengeneza faida,makampuni mengine mwaka wao wa fedha uanza January to December wengine kama serikali june up to mayFaida hutolewa baada ya muda gani
Kuna suala najiuliza ambalo liko kiimani kidogo,hivi naponunua hisa za voda inamaana nananua hisa za voda inamaana nanunua umiliki wa voda kama cellular netwek pekee ama kampuni ya vodacom nzima pamoja na huduma zake kama m pesa na m bet?
Kama ni hivyo hii dili hainuhusu,ni haramu kwangu kushiriki kwa namna yoyote ile kwenye kamari ama kuwekeza kwayo.Unanunua hisa kwenye Vodacom kama kampuni inayoendesha huduma zote ulizozitaja.Nakushauri upitie prospectus yao iliyo tolewa kwenye mtandao.
Mkuu hii statement ako ina maana gan?Hisa mil560 ?? Nani ana mamlaka ya kuweka idadi ya hisa zinazouzwa mfano voda wakisema wanauza hisa mil 8000 = bil8 kwa sh850 kila hisa huo utakuwa ufisadi kwa pesa za wananchi nisawa mm niwe na biashara ya genge niuze hisa mil 4 kila hisa sh 500 ??? Mm namashaka sana na biashara ya hisa kama siyo ufisadi wa kimataifa na kuzidi kuyanufaisha makampuni kwa kuwanyonya wananchi