C Complex number JF-Expert Member Joined Apr 28, 2012 Posts 217 Reaction score 56 Jun 5, 2017 #161 Habari wapendwa ! Nilinunua hisa 100( Tsh.85,000) za Voda com , Sasa naomba kujuzwa kinachoendelea , Sijui kama wamekubali au watanirudishia hela.
Habari wapendwa ! Nilinunua hisa 100( Tsh.85,000) za Voda com , Sasa naomba kujuzwa kinachoendelea , Sijui kama wamekubali au watanirudishia hela.
E Epson_LQ Member Joined Jan 11, 2017 Posts 26 Reaction score 3 Jun 5, 2017 #162 Unaweza ukapata faida kiasi gani kwa 10m?