Wakuu, njoo tujielimishe kuhusu hisa za Vodacom

Wakuu, njoo tujielimishe kuhusu hisa za Vodacom

Habari wapendwa !
Nilinunua hisa 100( Tsh.85,000) za Voda com ,
Sasa naomba kujuzwa kinachoendelea ,
Sijui kama wamekubali au watanirudishia hela.
 
Back
Top Bottom