Wakuu!! Njooni hapa tuongee na Fareed kubanda (Fid Q)

Uwo ni mtazamo wako binafsi ...wabongo manakasolo kubwa yakujifanya mnataka kumjua mtu sana ...Fid q ni msanii anayejitambua . na yeye awez akwakwambia anamiliki nini ...hapa mjini ..kwa hilo namshukulu fid q kutofautisha maisha yake binafsi na maisha yamziki.

Uwezi kumongelea msanii kama Fid q aliyedumu kweny mziki miaka 18 akiwa kweny chart ...mtoa uwo ushauri kampe chid Benz na wala sio fid q.
Mkuu! Kumbuka lisemwalo lipo! Hakuna yeyote anaweza kusimama na kutuminisha kwamba AY hana gari! Au Chibu hana ndinga..wote tunajua wanayo ...ila kwanini iwe Fid. There is something wrong?

Fid Q anajua kulaunch project na mziki mzuri ila hajui kuifanya show business ili apate hela kubwa na Mungu huwa hakupi vyote akikupa matako anakunyima manyoyo... Akikupa manyoyo anakunyima matako..! Fid Q kapewa talent afu kanyimwa business skills. Dhumuni ni Ili awaajiri wanaojua business skills na Dunia iendelee katika mifumo ya kutegemeana kimaisha na rizki.

Diamond ana mengi sana ya kuwafundisha wasanii wa kizazi hiki juu ya show biz oriented ya music.
 
Fid Q sio mtu wa kuweka personal life yake kwenye media so ni vigumu sana kujua kama mwana anapiga hela au hapigi vile yuko vile vile kama zamani.. Ushauri wako ni mzuri ila jamaa ana project nyingi ila hazidumu saaana.
 
Mkuu! Kumbuka lisemwalo lipo! Hakuna yeyote anaweza kusimama na kutuminisha kwamba AY hana gari! Au Chibu hana ndinga..wote tunajua wanayo ...ila kwanini iwe Fid. There is something wrong?

Fid Q anajua kulaunch project na mziki mzuri ila hajui kuifanya show business ili apate hela kubwa na Mungu huwa hakupi vyote akikupa matako anakunyima manyoyo... Akikupa manyoyo anakunyima matako..! Fid Q kapewa talent afu kanyimwa business skills. Dhumuni ni Ili awaajiri wanaojua business skills na Dunia iendelee katika mifumo ya kutegemeana kimaisha na rizki.

Diamond ana mengi sana ya kuwafundisha wasanii wa kizazi hiki juu ya show biz ya music.
Kijana kama wewe kuamin maneno ya kike uwo ni umama ...kwan kumiliki gari kwa fid q wewe inakuhusu nini .
 
Fid Q sio mtu wa kuweka personal life yake kwenye media so ni vigumu sana kujua kama mwana anapiga hela au hapigi vile yuko vile vile kama zamani.. Ushauri wako ni mzuri ila jamaa ana project nyingi ila hazidumu saaana.
Fid Q atakuwa bado kifedha tia maji tia maji... Unajua siku hizi msanii anapata hela kutokana na shows na matangazo sasa Fid amepiga show gani ya kumuingizia million 10? Hakuna! Hana tangazo gani kubwa kafanya recently? Hana. So technically atakuwa hajanufaika sana na mziki wake kifedha.

Na hivi karibuni anataka kulaunch album yake ya kitaaolojia sijui anategemea auze CD ili apate mkwanja? Wakati watu hawana hata deki ya singsung zama hizi. He needs to be smart and show biz oriented unless atachakatwa sana na maisha huko mbeleni kwa kuchezea muda wake alipokuwa peak.
 
Fid Q sio mtu wa kuweka personal life yake kwenye media so ni vigumu sana kujua kama mwana anapiga hela au hapigi vile yuko vile vile kama zamani.. Ushauri wako ni mzuri ila jamaa ana project nyingi ila hazidumu saaana.
Nimeandika juu hapo ,project anazo nyingi baadhi nazijua vzr mno maana nimeshiriki ,naogopa kujadili mambo ya MTU kumiliki kitu

Ila Fid ,project zake nyingi huwa si endelevu sababu ya kujiamini sana

Sasa kwa mtazamo Wangu hapa ndipo tatizo lake lilipo

Anachokosa ni Marketing plan tu
 
huyu anayeongelewa ni kiongozi wa serikali au kiongozi wa chama gani? maana sijawahi msikia, na ninaona uvivu kusoma habari yote
 
Kijana kama wewe kuamin maneno ya kike uwo ni umama ...kwan kumiliki gari kwa fid q wewe inakuhusu nini .
Kama die hard fan wake.. Shabiki wake wa dhati inaniuma sana. Maana naona kabisa huko mbeleni uwezekano ni mkubwa sana wa kupitisha bakuli la kuomba apatiwe fedha ya matibabu ili akatibiwe India kama Mzee Majuto vile.

Wakati ana bidhaa nzuri ila anashindwa kuiuza.
 
Fid Q sio mtu wa kuweka personal life yake kwenye media so ni vigumu sana kujua kama mwana anapiga hela au hapigi vile yuko vile vile kama zamani.. Ushauri wako ni mzuri ila jamaa ana project nyingi ila hazidumu saaana.
Kuna vitu hua havifichiki, moja kati ya hivyo vitu ni mafanikio. Ni kama kupanda mnazi uani, ipo siku huo mnazi utavuka paa na watu watauona!

Kwani mzee Bakhresa aliwatangazia watu utajiri wake? Mbona kila mtu anajua mzee ana ukwasi wa kupindukia!

Alafu hii kitu ya kusema "personal life" kwa mastaa ni uongo. Ukishakua msanii maarufu, everything you do has connection with the public.

Ndio maana watu wanawaiga hadi kuongea kwao. Kioo cha jamii hakiwezi kua na personal life!

Sana sana labda kumaintain muonekano mzuri mbele ya jamii as a star, lakini sio personal life!
 
Uwo ni mtazamo wako binafsi ...wabongo manakasolo kubwa yakujifanya mnataka kumjua mtu sana ...Fid q ni msanii anayejitambua . na yeye awez akwakwambia anamiliki nini ...hapa mjini ..kwa hilo namshukulu fid q kutofautisha maisha yake binafsi na maisha yamziki.

Uwezi kumongelea msanii kama Fid q aliyedumu kweny mziki miaka 18 akiwa kweny chart ...mtoa uwo ushauri kampe chid Benz na wala sio fid q.
Sasa mkuu, ulitaka mleta mada atoe mtizamo wa nani kama sio mtizamo wake?

Je, kuwepo kwenye chat kwa miaka 18 kumemsaidia nini Fid Q kiuchumi kulinganisha na wasanii wengine?
 
Kuna vitu hua havifichiki, mmoja kati ya hivyo vitu ni mafanikio. Ni kama kupanda mnazi uani, ipo siku huo mnazi utavuka paa na watu watauona!

Kwani mzee Bakhresa aliwatangazia watu utajiri wake? Mbona kila mtu anajua mzee ana ukwasi wa kupindukia!

Alafu hii kitu ya kusema "personal life" kwa mastaa ni uongo. Ukishakua msanii maarufu, everything you do has connection with the public.

Ndio maana watu wanawaiga hadi kuongea kwao. Kioo cha jamii hakiwezi kua na personal life!

Sana sana labda kumaintain muonekano mzuri mbele ya jamii as a star, lakini sio personal life!
Wewe jamaa reasoning yako iko sawa sana. Na ukitizama wasanii wengi wasio na vision wala mission huwa wanajifichia kwenye kichaka cha personal life.
 
Uwo ni mtazamo wako binafsi ...wabongo manakasolo kubwa yakujifanya mnataka kumjua mtu sana ...Fid q ni msanii anayejitambua . na yeye awez akwakwambia anamiliki nini ...hapa mjini ..kwa hilo namshukulu fid q kutofautisha maisha yake binafsi na maisha yamziki.

Uwezi kumongelea msanii kama Fid q aliyedumu kweny mziki miaka 18 akiwa kweny chart ...mtoa uwo ushauri kampe chid Benz na wala sio fid q.
We jamaa kiazi sana
 
-KANA-, post: 29313036, member: 429014"]Sasa mkuu, ulitaka mleta mada atoe mtizamo wa nani kama sio mtizamo wake?

Je, kuwepo kwenye chat kwa miaka 18 kumemsaidia nini Fid Q kiuchumi kulinganisha na wasanii wengine?[/QUOTE]
Fid q wewe umemjua kupitia mziki lakin nashangaa mnavyotaka kumfatilia maisha yake ya ndani Tabia za kike sip poa.
 
Wewe jamaa reasoning yako iko sawa sana. Na ukitizama wasanii wengi wasio na vision wala mission huwa wanajifichia kwenye kichaka cha personal life.
Hua sielewi mwanamuziki anaposema eti ana "personal life".

Your proffession is your life!

Yani eti Samatta aseme ana personal life apart from football, atakua anatuongopea. Maisha yake ni mpira, na karibia kila kitu chake kinakua connected na mpira.

Sasa hii personal life ya wasanii sijui ni ipi!

Mchana mwema mkuu!

Acha nikachungulie charts kidogo.
 
Sasa mkuu, ulitaka mleta mada atoe mtizamo wa nani kama sio mtizamo wake?

Je, kuwepo kwenye chat kwa miaka 18 kumemsaidia nini Fid Q kiuchumi kulinganisha na wasanii wengine?
Kudumu kweny chart miaka 18 nimafanikio Tosha kabisa ....Tabia zenu zakutaka kuwafatilia wanaume wenzio mnajitia aibu .
 
Kama die hard fan wake.. Shabiki wake wa dhati inaniuma sana. Maana naona kabisa huko mbeleni uwezekano ni mkubwa sana wa kupitisha bakuli la kuomba apatiwe fedha ya matibabu ili akatibiwe India kama Mzee Majuto vile.

Wakati ana bidhaa nzuri ila anashindwa kuiuza.
Wewe sio shabiki wa Fid q maana ungekuwa shabiki yake usingepoteza mda kumchunguza mwanaume mwenzio ...maisha ya fid uwez kuyajua kama colour chupi yake.
 
Back
Top Bottom