Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 9,980
- 34,404
Kwa jinsi ulivyoandika hapo labda kadhani ni Mwandiko wa yule Mwalimu wenu aliyewafundisha Ku Trade[emoji23]Ahahahaha!! Mkuu una shaka gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa jinsi ulivyoandika hapo labda kadhani ni Mwandiko wa yule Mwalimu wenu aliyewafundisha Ku Trade[emoji23]Ahahahaha!! Mkuu una shaka gani?
Mkuu! Kumbuka lisemwalo lipo! Hakuna yeyote anaweza kusimama na kutuminisha kwamba AY hana gari! Au Chibu hana ndinga..wote tunajua wanayo ...ila kwanini iwe Fid. There is something wrong?Uwo ni mtazamo wako binafsi ...wabongo manakasolo kubwa yakujifanya mnataka kumjua mtu sana ...Fid q ni msanii anayejitambua . na yeye awez akwakwambia anamiliki nini ...hapa mjini ..kwa hilo namshukulu fid q kutofautisha maisha yake binafsi na maisha yamziki.
Uwezi kumongelea msanii kama Fid q aliyedumu kweny mziki miaka 18 akiwa kweny chart ...mtoa uwo ushauri kampe chid Benz na wala sio fid q.
Pamoja chief!Simply perfect analysis. We jamaa kichwa chako huwa kimetulia sana. Nimekuelewa kwa urahisi sana.
[emoji818][emoji109]
Kijana kama wewe kuamin maneno ya kike uwo ni umama ...kwan kumiliki gari kwa fid q wewe inakuhusu nini .Mkuu! Kumbuka lisemwalo lipo! Hakuna yeyote anaweza kusimama na kutuminisha kwamba AY hana gari! Au Chibu hana ndinga..wote tunajua wanayo ...ila kwanini iwe Fid. There is something wrong?
Fid Q anajua kulaunch project na mziki mzuri ila hajui kuifanya show business ili apate hela kubwa na Mungu huwa hakupi vyote akikupa matako anakunyima manyoyo... Akikupa manyoyo anakunyima matako..! Fid Q kapewa talent afu kanyimwa business skills. Dhumuni ni Ili awaajiri wanaojua business skills na Dunia iendelee katika mifumo ya kutegemeana kimaisha na rizki.
Diamond ana mengi sana ya kuwafundisha wasanii wa kizazi hiki juu ya show biz ya music.
Fid Q atakuwa bado kifedha tia maji tia maji... Unajua siku hizi msanii anapata hela kutokana na shows na matangazo sasa Fid amepiga show gani ya kumuingizia million 10? Hakuna! Hana tangazo gani kubwa kafanya recently? Hana. So technically atakuwa hajanufaika sana na mziki wake kifedha.Fid Q sio mtu wa kuweka personal life yake kwenye media so ni vigumu sana kujua kama mwana anapiga hela au hapigi vile yuko vile vile kama zamani.. Ushauri wako ni mzuri ila jamaa ana project nyingi ila hazidumu saaana.
Nimeandika juu hapo ,project anazo nyingi baadhi nazijua vzr mno maana nimeshiriki ,naogopa kujadili mambo ya MTU kumiliki kituFid Q sio mtu wa kuweka personal life yake kwenye media so ni vigumu sana kujua kama mwana anapiga hela au hapigi vile yuko vile vile kama zamani.. Ushauri wako ni mzuri ila jamaa ana project nyingi ila hazidumu saaana.
Kama die hard fan wake.. Shabiki wake wa dhati inaniuma sana. Maana naona kabisa huko mbeleni uwezekano ni mkubwa sana wa kupitisha bakuli la kuomba apatiwe fedha ya matibabu ili akatibiwe India kama Mzee Majuto vile.Kijana kama wewe kuamin maneno ya kike uwo ni umama ...kwan kumiliki gari kwa fid q wewe inakuhusu nini .
Kuna vitu hua havifichiki, moja kati ya hivyo vitu ni mafanikio. Ni kama kupanda mnazi uani, ipo siku huo mnazi utavuka paa na watu watauona!Fid Q sio mtu wa kuweka personal life yake kwenye media so ni vigumu sana kujua kama mwana anapiga hela au hapigi vile yuko vile vile kama zamani.. Ushauri wako ni mzuri ila jamaa ana project nyingi ila hazidumu saaana.
Sasa mkuu, ulitaka mleta mada atoe mtizamo wa nani kama sio mtizamo wake?Uwo ni mtazamo wako binafsi ...wabongo manakasolo kubwa yakujifanya mnataka kumjua mtu sana ...Fid q ni msanii anayejitambua . na yeye awez akwakwambia anamiliki nini ...hapa mjini ..kwa hilo namshukulu fid q kutofautisha maisha yake binafsi na maisha yamziki.
Uwezi kumongelea msanii kama Fid q aliyedumu kweny mziki miaka 18 akiwa kweny chart ...mtoa uwo ushauri kampe chid Benz na wala sio fid q.
Wewe jamaa reasoning yako iko sawa sana. Na ukitizama wasanii wengi wasio na vision wala mission huwa wanajifichia kwenye kichaka cha personal life.Kuna vitu hua havifichiki, mmoja kati ya hivyo vitu ni mafanikio. Ni kama kupanda mnazi uani, ipo siku huo mnazi utavuka paa na watu watauona!
Kwani mzee Bakhresa aliwatangazia watu utajiri wake? Mbona kila mtu anajua mzee ana ukwasi wa kupindukia!
Alafu hii kitu ya kusema "personal life" kwa mastaa ni uongo. Ukishakua msanii maarufu, everything you do has connection with the public.
Ndio maana watu wanawaiga hadi kuongea kwao. Kioo cha jamii hakiwezi kua na personal life!
Sana sana labda kumaintain muonekano mzuri mbele ya jamii as a star, lakini sio personal life!
We jamaa kiazi sanaUwo ni mtazamo wako binafsi ...wabongo manakasolo kubwa yakujifanya mnataka kumjua mtu sana ...Fid q ni msanii anayejitambua . na yeye awez akwakwambia anamiliki nini ...hapa mjini ..kwa hilo namshukulu fid q kutofautisha maisha yake binafsi na maisha yamziki.
Uwezi kumongelea msanii kama Fid q aliyedumu kweny mziki miaka 18 akiwa kweny chart ...mtoa uwo ushauri kampe chid Benz na wala sio fid q.
We jamaa kiazi sana
PunWe jamaa kiazi sana
Hua sielewi mwanamuziki anaposema eti ana "personal life".Wewe jamaa reasoning yako iko sawa sana. Na ukitizama wasanii wengi wasio na vision wala mission huwa wanajifichia kwenye kichaka cha personal life.
Kudumu kweny chart miaka 18 nimafanikio Tosha kabisa ....Tabia zenu zakutaka kuwafatilia wanaume wenzio mnajitia aibu .Sasa mkuu, ulitaka mleta mada atoe mtizamo wa nani kama sio mtizamo wake?
Je, kuwepo kwenye chat kwa miaka 18 kumemsaidia nini Fid Q kiuchumi kulinganisha na wasanii wengine?
Wewe sio shabiki wa Fid q maana ungekuwa shabiki yake usingepoteza mda kumchunguza mwanaume mwenzio ...maisha ya fid uwez kuyajua kama colour chupi yake.Kama die hard fan wake.. Shabiki wake wa dhati inaniuma sana. Maana naona kabisa huko mbeleni uwezekano ni mkubwa sana wa kupitisha bakuli la kuomba apatiwe fedha ya matibabu ili akatibiwe India kama Mzee Majuto vile.
Wakati ana bidhaa nzuri ila anashindwa kuiuza.