Wakuu physics inatanua ubongo

Baada ya kumaliza shahada yangu ya uhandisi sasa hivi siwazi kusoma kitu kingine zaidi ya sheria tu,natumia mda mwingi kuongeza maarifa kwenye sheria Labor law ,Tax Law na masheria mengine mengi .
We have the same passion bro.. Hapa Bongo kuna Chuo gani kinatoa angalau cheti cha sheria .. masomo kwa Njia ya Mtandao.
 
Hahahah Mkuu angalia usijebutuka na umeme kwa personal reading ya physics
 
Hahahah Mkuu angalia usijebutuka na umeme kwa personal reading ya physics
😄😄😄😄
Aliyegundua betri anaitwa Alesandro Volta, huyu mwamba alitestia kugusa nyaya akaligwa shoti kidogo akajua ahh kumbe amefanikiwa kuzalisha umeme
 
Nimecheka sana.😀😀😀 Kama nakuona ukisoma na kujisemea "kuumbe!" Dogo atakuwa anajiuliza huyu braza vipi na maabbot!
 
😄😄😄😄
Aliyegundua betri anaitwa Alesandro Volta, huyu mwamba alitestia kugusa nyaya akaligwa shoti kidogo akajua ahh kumbe amefanikiwa kuzalisha umeme
😁 ila sio kwa umeme wetu wa kibongo bongo shoti moja tu kifo!!! Mazima
 
Nimecheka sana.😀😀😀 Kama nakuona ukisoma na kujisemea "kuumbe!" Dogo atakuwa anajiuliza huyu braza vipi na maabbot!
😄😄😄😄😄
Kuna mtu alinikuta nasoma nmekaa nje nmetulia akashangaa sana, kumbe nayeye ni mdau alisoma mininig engineering mpaka sasa ni rafiki yangu japokuwa mwanzoni hatukuwa tunaongeleshana
 
😄😄😄😄😄
Kuna mtu alinikuta nasoma nmekaa nje nmetulia akashangaa sana, kumbe nayeye ni mdau alisoma mininig engineering mpaka sasa ni rafiki yangu japokuwa mwanzoni hatukuwa tunaongeleshana
Hahaaaaa😀😀 mkakutana ma-nerd. Mi binafsi nilienjoy sana physics ya advance. Wengi wanaona physics ngumu sababu wanasoma tu notisi na kukariri. Ukiijua vizuri principal zake kwa kusoma kwenye vitabu huwezi kuiona ngumu.
 
Physics niliipenda ila necta wakaipenda zaidi....nakumbukaga ma hookslaw..archimedes principal....sijui string instrument...study of matter in relation to energy kwa kweli elimu bongo ni michosho tu,waalimu wabovu nao wanazalisha wanafunzi wabovu.
 
Sitaki kukumbuka mziki wa phys mie khaah, nusu niwe chizi wallah, unakomaa wee class na prepo, plus tuit ila ndan ya pepa inakukana daaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

But JAH mkubwa na alikua upande wangu nlifanikiwa kutusua final pepa, now napamban level nyingne.

Phys ya advance hapana, [emoji119][emoji119][emoji119]
 
Hahaaaaa[emoji3][emoji3] mkakutana ma-nerd. Mi binafsi nilienjoy sana physics ya advance. Wengi wanaona physics ngumu sababu wanasoma tu notisi na kukariri. Ukiijua vizuri principal zake kwa kusoma kwenye vitabu huwezi kuiona ngumu.
Yaan watu km nyie hamkosekan lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Physics niliipenda ila necta wakaipenda zaidi....nakumbukaga ma hookslaw..archimedes principal....sijui string instrument...study of matter in relation to energy kwa kweli elimu bongo ni michosho tu,waalimu wabovu nao wanazalisha wanafunzi wabovu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] phys haina urafik wala mazoea, ni kukamiana mwanzo mwisho lol.
 
Huna tofauti na alieota anasoma darasa la saba

In mshana jr voice
 
Hongera saaana...Hili somo hili....acha tuu..Wanaoliweza nawaheshimu sana...
 
Kwa hiyo unasoma tu kama kitabu cha history na nondo zina stick tu easily! nipe link ni download na mimi nisome tu kama wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…